kibokoyamabishoo
Member
- Nov 8, 2016
- 40
- 21
Mi nafikili vijana tukijikita kwenye kilimo na bishara tutatoka kiuchumi mi Leo nataka niwape vijana wenzangu Elimu kidogo kuhusu kilimo cha vitunguu swaum. Mm nauzoefu wa mika9 sasa wakulima na kupeleka sokoni kilimo cha vitunguu swaum ni kilimo cha mda mfupi toka kupanda hadi kuvuna ni miezi4 tu na mara nyingi hiki ni kilimo cha umwagilijaji. Ngoja sasa niwape faida zake
1: kwanza kabisa hiki ni kilimo cha umwagilijaji,
2: kilimo hiki ni kilimo cha mda mfupi miezi 4tu
3: Baada ya miezi4 unakuwa tayari kwa kuvuna mazao yako na kuyapeleka sokoni au kuhifadhi stoo usubili bei ipande .
4: Na inauwezo wa kukaa ndani yaani stoo kwa miezi 5 bila kuhalibika
5: Shamba la ukubwa wa ekary 1 unauwezo wa kuvuna tani 3 hadi 4 sawa na kg3000 au kg4000
6: Shamba la ekary 1 galama za kukodi kulima pamoja nambegu na kulihudumia hadi mavuno ni wastani wa mil 1na laki5.
7: Na wastani wa bei kwa kilo shambani. mda wa mavuno huwa ni elfu 2000 hadi 2500 wakati sokoni ni elfu 3000 hadi 3700.
8: Vijana wenzangu tujikite kwenye kilimo. Kilimo ni uti wa mgogo
9: Na mikoa inayolima sana zao la kitunguu swaum ni Mkoa wa manyara, Iringa, na Mbeya.
Ndugu zangu wa jm frm naombe kura zenu na kwa yeyote nilie mkwaza au kumkosea na kwa maoni na ushauri usisite kunitafuta kupitia no 0755727421 au email Tobiasmtitu4@gmail.com
Naombeni kura zenu tafadhali[emoji120][emoji120][emoji120]