Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya pambana na hali yakoKwa mmoja nilifata mapishi kwa mwengine nikafata feni bovu uno!
Tofaut na hapo siwezi singizia au kuua mtu,haha! na unajiita mtoto wa mjini hapo ndo umewaza..š
hebu jitahidi kuwaza tena uone ulivyo kolo!
Mkuu kuumwa watakuja kuniangalia na hiyo ni emergency mtu atang'ang'ania tu, ukimzuia atataka kujua why...?Tofaut na hapo siwezi singizia au kuua mtu,
wala kuzima simu,
Haya Leo jumapili dharura gani kazini usiku?
Tumia kuumwa hapo, au una kikao na boss imetokea dharura unahitajika acha kuwa km hujakaa mjini bhn š
ikiza waambie hauko sawa na huwezi ongea na simu ........ Mwambie mmoja mwingine utamwambia muda ukiwa umeendaMkuu kuumwa watakuja kuniangalia na hiyo ni emergency mtu atang'ang'ania tu, ukimzuia atataka kujua why...?
oya we sijui wakijiji gani..š¤£
Salute kwako Mkuu, yani hapo unafaa sanaa kuitwa kwenye mijadala migumu migumu!ššChagua mmoja mwambie leo tubasherekea birthday yangu na yako ili kusave hela. Hela ni ngumu sana. Mwingine mwambie tunaunganisha yako na yangu tutaifanya kesho tunasave hela.
Hii yakwako naikataa maana vile vichwa navijua!, kuna dalili naanza kupata mbwinu inajiunda kichwani...šS
ikiza waambie hauko sawa na huwezi ongea na simu ........ Mwambie mmoja mwingine utamwambia muda ukiwa umeenda
Natokea namanyere š
Hhhhhhh fanya utavyoons Leo wacha wajuane šHii yakwako naikataa maana vile vichwa navijua!, kuna dalili naanza kupata mbwinu inajiunda kichwani...š
Tulia hivyo hivyoshida wakijuana nawakosa wote sipo tayari kwa hilo
Tamaa ikizidi kiasi kinachofuata ni kutenda dhambi nyingi, dhambi zikishakuwa nyingi ujiandae na safari ya mautini.Twendeni taratibu limenikamata mwenzenu!, Mkeka umekaa hivi
Janeth siku yake yakuzaliwa ni 23/2... ambayo ni leo!.
Jackie nae mchepuko siku yake ya kuzaliwa ni 23/2.. ambayo pia ni leo!.
Bongo linanichemka hapa niende kwanani niache kwanani!!!
kwanza nitafanyaje sehemu moja niende na kwengine nisiende..?
Keka lamwisho ambalo lipicha limekaa kijambazi ni kesho 24/2.. Ni siku yangu yakuzaliwa hivyo jack na jane watataka kuja kunitakia happy birthday to you!!.
Nimeamini shetani hakosi jambo lakukupigia hata kama upo sawa na mapenzi yako ye anakuchora tu anajua wapi hesabu zake atajumlisha nakutoa!, Next time kigezo cha siku za kuzaliwa za wapenzi wangu nitakuwa nazikagua maana sio kwa hili komwe kuniuma hivi!!.
Hili ni zimwi likujualo linakumaliza sio lile halikuli likakwisha!.
Wakuu kwenye moja na mbili natokaje hapa..?
Kwani umefunga nao ndoa?Sio rahisi hivi mkuu wale wote ni ving'ang'a!
Hii imekaa kibabe sana!..šCancel kote mkuu,,,, ya hao mamanzi ya yako,,,, ! Mambo ya birthday waachie madem! Wakimind sana wote watumie hela ya wine.,,, usiende kwa yeyote ! Mwanaume unatakiwa uwe kiongoz na mtawala kwa mwanamke wako, utakachokisema ni sheria