Wadau sasa hapa natokaje..?

Chagua mmoja mwambie leo tubasherekea birthday yangu na yako ili kusave hela. Hela ni ngumu sana. Mwingine mwambie tunaunganisha yako na yangu tutaifanya kesho tunasave hela.
Au sio master shivoo 😹😹
 
Chagua mmoja mwambie leo tubasherekea birthday yangu na yako ili kusave hela. Hela ni ngumu sana. Mwingine mwambie tunaunganisha yako na yangu tutaifanya kesho tunasave hela.
Wahuni kwenye moja na mbili, dah
 
Unakosaje hata sehemu ya kwenda?? Yaani umekosa hata safari ya Dharula ya kwenda Mkoani????? Unaaga unaenda Mkoani kwa wote wawili, kisha unatafta manzi mpya unaenda kulalanaye lodge mpaka Tarehe 25 unarudi Mjini.
 
Yaan mwanaume kuwa na birthday.........read more
 
Hii Chai ni chungu sana umezidisha kipimo cha majani halafu ukaiacha jikoni muda mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…