Wadau Sicle Cell inaniangamizia mtoto wangu msaada wa haraka jaman

dega

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
3,172
Reaction score
3,082
Wadau,

Nina mtoto mwenye miaka 3 anasumbuliwa sana na maradhi ya mifupa kiasi ambacho miguu yake imeanza kukukosa nguvu na mara kwa mara anekua akîlazwa.

Naomba msaada kama kuna ushauri wa kuyapunguza kasi au kama kuna Hospital yoyote ambayo naweza pata tiba ya uhakika wa maradh haya.
 
dah pole saana kwa hilo tatzo wakija wataalamu watakwambia ila kuna watotohuwea nawaona huku ,mtaani kwetu nawaonea sana huruma
 
Pole sana!ingawa title haiendani na ulichoandika!
 
Ilikua niandikaje mkuu naomba msaada panapo mapufungufu

Hebu search kwanza huu ugonjwa tuliuchambuwa kwa kina na matibabu yake na walipo wataalam, tatizo letu kubwa huwa hatujipi muda wa kusearch old thread.
 
Mkubwa ni mifupa tu ndo inasumbua? Je anavimba mikono? Je anapata homa mara kwa mara? Kuna mabadiliko yoyote juu ya fuvu la kichwa chake? Anapata maumivu makali juu ya viuongo vyake? Kama ndio mpeleke hospitali ya wilwya au mkoa ili afanyiwe vipimo kudhibotisha kama ni sickle cell au ni leukemia,
 
upo mkoa gani? kama upo dar, mpeleke muhimbili. wana kitengo maalum cha kuhudumia matatizo hayo. kama upo mbali jaribu kutafuta hospitali yenye daktari bingwa wa watoto utaweza kupata msaada.pole sana.
 
umeandika title inayohusu seli mundu halafu content inahusu mifupa

Kadiri ninavyo ufaham mm kwa jina la kitaalam ni ''Sicle Cell'' na kwa kiswahil wanaita Maradh ya Mifupa ambapo mgonjwa upata maumivu makali ktk viungo vya miko na miguu , tumbo na upungufu wa damu wa mara kwa mara nakushukuru kwa msbda wako na natarajia utanisadia zaid ata kwa mawazo. Ahsante
 
Unaitwa seli mundu kwa kiswahili
 
Kwa Kiswahili inaitwa seli mundu...
 
upo mkoa gani? kama upo dar, mpeleke muhimbili. wana kitengo maalum cha kuhudumia matatizo hayo. kama upo mbali jaribu kutafuta hospitali yenye daktari bingwa wa watoto utaweza kupata msaada.pole sana.

Huwa tuna hudhuria hizi clinic kubwa huwa wanaangalia damu na kumwandikia pholic acid lkn ttz lina zidi ndugu yangu kiasi nimeemewa nakushukuru kwa maon yako
 
Hebu search kwanza huu ugonjwa tuliuchambuwa kwa kina na matibabu yake na walipo wataalam, tatizo letu kubwa huwa hatujipi muda wa kusearch old thread.
Mm natumia cm ya mkonöni na kama unavyofaham page ni nying mno kuitafuta 4nakua ngumu km kunaa yoyote atakaesaidia kuniwekea iyo thread gapa ntawashukuru sana
 
ni pm kuna ndugu yangu ana mtoto wa hivyo na atleast augui mara nyingi na asoma vizuri

Vp Mkuu nimeku PM tayari mbn upo kimya nisaidie ndugu yangu.
 
Mpeleke kwenye maombi usipoteze muda angalia Emmanuel TV kwa ukarbu sana jiunganishe kupitia TV na prayer request kwa njia ya mtandao, fanya utaratibu wa kumuweka karibu ya damu ya yesu, sitanii nimeona kwa macho haijalishi ni ugonjwa gani, hakuna ugonjwa ulio juu ya jina hili kuu, unahitaji njia ya kufika huko kwa imani tu utawezeshwa kupata vitu vya mbinguni, tena kwa huyu mtoto mdogo ni rahisi maana hana maluweluwe, maana si bwana alisema waleteni watoto wadogo waje kwangu, maana ufalme wa mbinguni ni wao? tena akasema tunahitaji mioyo safi kama ya watoto wadogo, kama UNAAMINI ni pm nikukutanishe na watumishi wanaofanya mambo makubwa, na wala hawajitaji kujitangaza, usipoteze muda fanya hima ndugu yangu mtoto anaemia
 
Mr Ebo alifariki siku chache baada ya kutoka huko unakosema wewe kutokana na ugonjwa wa Seli mundu!
 
Mm natumia cm ya mkonöni na kama unavyofaham page ni nying mno kuitafuta 4nakua ngumu km kunaa yoyote atakaesaidia kuniwekea iyo thread gapa ntawashukuru sana

Hata mimi muda huu natumia simu, ila angalia kwa makini AshaDii kuna link zote usefull ameziweka pamoja, tatizo linabaki palepale ni pupa zetu za kujump to start new thread kabla ya upembuzi yakinifu.

Tena ni bora upate thread za zamani walikuwa wanashusha material ya ukweli kuliko ilivyo sasa kuna virus vimeingia kuihujumu JF.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…