Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi muda huu natumia
simu, ila angalia kwa makini AshaDii kuna link
zote usefull ameziweka pamoja, tatizo linabaki palepale ni pupa zetu za
kujump to start new thread kabla ya upembuzi yakinifu.
Tena ni bora upate thread za zamani walikuwa wanashusha material ya
ukweli kuliko ilivyo sasa kuna virus vimeingia kuihujumu JF.
Matola kama unajua tiba au nini afanye, msaidie plz! muone huruma huyo mtoto anaeteseka
Wadau,
Nina mtoto mwenye miaka 3 anasumbuliwa sana na maradhi ya mifupa kiasi ambacho miguu yake imeanza kukukosa nguvu na mara kwa mara anekua akîlazwa.
Naomba msaada kama kuna ushauri wa kuyapunguza kasi au kama kuna Hospital yoyote ambayo naweza pata tiba ya uhakika wa maradh haya.
mkuu pole sana ase.....kwanza nina mpwa wangu mtoto wa dada yangu..ase alizaliwa na huu ugonjwa
ila kama mfuko haupo vizuri,dah utapata sana misuko suko...maana dawa za matibabu ni very expensive kwa watoto
na tiba nzuri ni agha khan mkuu,ubaya wa huu ugonjwa kwa watoto ni ukosefu wa appetite ya kula...mtoto anadhohofika,kutwa maradhi nyemelezi kumtawala
pole sana mkuu