Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Jetty kitambo sana masikini, bado hajapona kumbe, pole sana kwake....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumuunge mkono katika muziki wakeJetty kitambo sana masikini, bado hajapona kumbe, pole sana kwake....
Kwani Don nalimison karudi butimba tenaPia tumuunge mkono Civilian Coin a.k.a Dj Don nalimison.
Licha ya kusota Butimba lakini bado anafanya vyema
Mkubwa mbona Don dish haliko sawa hata kabla hajaenda gerezaniTena wa Afya alikuwa mwalimu kabisa sema walivyo mfunga ndio walimchanganya
Don sikuhizi alianza kujiita civilian coin..sijui yuko wapi jamaa mana last seen ni mwezi wa kwanza..hii sio kawaida.Kwani Don nalimison karudi butimba tena