Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Nakumbuka nikiwa nakua kila nikiosha vyombo bibi alikuwa anasisitiza nianze na vikombe na glass za maji ili visiwe na harufu ya mafuta au michuzi. Ila sasa hivi naweza anza hata na sufuria nikamaliza na glass na fresh tu.
Haya Ukiwa unaosha vyombo huwa unafuata mpangilio upi hapa?
Haya Ukiwa unaosha vyombo huwa unafuata mpangilio upi hapa?