Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Na MabesenNakumbuka nikiwa nakua kila nikiosha vyombo bibi alikuwa anasisitiza nianze na vikombe na glass za maji ili visiwe na harufu ya mafuta au michuzi. Ila sasa hivi naweza anza hata na sufuria nikamaliza na glass na fresh tu.
Haya Ukiwa unaosha vyombo huwa unafuata mpangilio upi hapa?
Huu ni uphuz kwelSasa tujadili nini....
Huu ni uphuz kwelSasa tujadili nini....
Swali fikirishi je mlikuwa mnatumia sabuniNakumbuka nikiwa nakua kila nikiosha vyombo bibi alikuwa anasisitiza nianze na vikombe na glass za maji ili visiwe na harufu ya mafuta au michuzi. Ila sasa hivi naweza anza hata na sufuria nikamaliza na glass na fresh tu.
Haya Ukiwa unaosha vyombo huwa unafuata mpangilio upi hapa?
Ahahaha ujinga ujinga tu...Huu ni uphuz kwel