Wadau tumekwama; wastani sasa hivi ni bao moja tu!!

Wadau tumekwama; wastani sasa hivi ni bao moja tu!!

Nguvu hazipo Tena!

1. Mapaja wazi wazi

2. Mziki, muvi zinaonesha utupu
=Haya yote hupunguza hamu na kuzoea maeneo nyeti ya wanawake.

3. Ugumu wa maisha

4. Chakula na vinywaji visivyofaa
5. Kukosa mazoezi ya mwili
 
Mkuu .. Hili jambo kwanza kinahitaji stamina ambayo unaipata kwenye aina flani ya mazoezi
Mbili unywaji wa vinywaji inapaswa kuwa selective sana
Ulaji pia unatakiwa kula vyakula balanced
Na mwisho mapenzi ni hisia pia Kuna wakati kwenye ndoa unalzimika tu kusweka Ilimradi umetimiza wajibu wako kwa Mke , ondoa hiyo notion mnapokuwa mmekosana mnaweka mambo sawa Ili muwe positive wote mnaenjoy mbona hata siku nzima
 
Say it to yourself bro usije ukatuharibia Kwa mabinti wazuri wenye shepu zao.Naomba nichukue fursa Hii kuwaomba radhi warembo wote mliosoma huu Uzi,hayo ni Mawazo na maoni ya mtoa Uzi hayahusiani kabisa na mm sijui wengine.
 
Wakati mwingine muwe na busara, mtu umeanza isimamia toka una miaka 16, sasa una 53, bado tu unataka pooling ile ile, laana hii, hemu jitunze pia kutokuwa na mawazo yasiyo maana, utakufa kwa presha utamuacha na vihela vyako atawahonga vijana watamwita sugar Mama.
 
Haya mambo huenda sambamba na timu pinzani. Yaani ukiikuta timu pinzani ipo active. Basi unaweza enda extra miles.
 
Bao moja? Afu ukute unamsumbua tu na kumvua nguo zote wakati unapiga kamoja.....
 
Back
Top Bottom