Wadau tumekwama; wastani sasa hivi ni bao moja tu!!

Wadau tumekwama; wastani sasa hivi ni bao moja tu!!

Mda si mrefu nimepiga Moja na hakuna shida tena show nzuri tu nikiongeza la pili ni kujichosha hapa nimetulia naenda kuangalia game ya Simba na Singida
 
Nguvu hazipo Tena!

1. Mapaja wazi wazi

2. Mziki, muvi zinaonesha utupu
=Haya yote hupunguza hamu na kuzoea maeneo nyeti ya wanawake.

3. Ugumu wa maisha

4. Chakula na vinywaji visivyofaa
5. Kukosa mazoezi ya mwili
Malizia na CCM
 
3 na 5
 
Back
Top Bottom