Basikeli 1 ya swala,redio 1mbao ya national,jembe la mkono,panga,mashati mawili ya bahama,la kuchumpa,jinsi pensi,jumla 35000tsh.
pia ninafuga majini 7,vibuyu vya uchawi 4,nyungo mbili.
umenikumbusha malima, kompyuta tatu, bunduki, bastola na masimu kibao utafikiri pusha
namiliki witu kibao lakini most of them napewa tu na ndugu zangu vingine nimerithi , sina risiti hata moja anyway nimekumbuka tv na radio jamaa aliweka rehani baada ya kukopa tu laki tuwili basi