Wadau tuwe makini na gonjwa la ukimwi 2012

sajosojo

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2010
Posts
1,021
Reaction score
636
Kuna watu humu ndani wanaona kuwa na wapenzi wengi na kama ufahari lakini wasahau kwamba mshahara wa zambi ni mauti....
 
Aaa mimi huwa sina fujo.
 
usiamini kila uonalo....
Unajua si kila watu wasemalo humu ndani wanamaanisha,wengine wanataniaga tu...so ukiamini kila kitu utawaona watu wahuni kumbe watu tuna HESHIMA zetu atiii.
 
Mwisho wa ubaya nao aibu. Ahsante kwa ujumbe.
 
Kuna watu humu ndani wanaona kuwa na wapenzi wengi na kama ufahari lakini wasahau kwamba mshahara wa zambi ni mauti....
Ulianza vizuri kwa kutoa tahadhari kuhusu ukimwi ila hapo mwisho umeharibu kidogo (IMO).
Ina maana wale ambao hawana wapenzi wengi wataishi milele? Au wataishi zaidi ya wale wenye ukimwi?
Watu wote watakufa tu.
 
Good Alert!
Wote mnaomchallenge hapo juu, kizuri ni kwamba UJUMBE UMEWAFIKIA!
 
Message delivered! ila na wewe unazingatia hilo? Isije kuwa yale mambo ya "lakini alikufa kwa ngoma"
 
Hilo nalo ni neno, tena neno la maana hasa.
 
Aksante kwa message nzuri,ingawa siku hizi kuna wanaosema ukimwi ni kama malaria,ila ukimwambia njoo tupime anakimbia mh.
 
ukimwi hivi bado ni tishio?? nafikiri tatizo limeshakwisha au ni kwangu tu, mbona ABC zipo very simple hivo au watu tunapenda kucomplicate life
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…