Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua si kila watu wasemalo humu ndani wanamaanisha,wengine wanataniaga tu...so ukiamini kila kitu utawaona watu wahuni kumbe watu tuna HESHIMA zetu atiii.usiamini kila uonalo....
Ulianza vizuri kwa kutoa tahadhari kuhusu ukimwi ila hapo mwisho umeharibu kidogo (IMO).Kuna watu humu ndani wanaona kuwa na wapenzi wengi na kama ufahari lakini wasahau kwamba mshahara wa zambi ni mauti....
ila umoja ni nguvu..............!Kuna watu humu ndani wanaona kuwa na wapenzi wengi na kama ufahari lakini wasahau kwamba mshahara wa zambi ni mauti....
kwa hiyo?Kuna watu humu ndani wanaona kuwa na wapenzi wengi na kama ufahari lakini wasahau kwamba mshahara wa zambi ni mauti....