Brain Kingdom
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 7,002
- 14,570
Katika historia ya Tanzania huu mwaka ni wa kipekee sana kwangu, tangu niote Tanzania itavurugika mwezi wa 2 yaani February 2025, nafsi yangu ilishafuta na kupotezea kuhusu uchaguzi wa 2025.
Nimebaki kama mchina kichwa wazi nachojua ni kwamba Mungu ashaimuru nguzo kuu ya Taifa kufanya ipasavyo juu yake na kwa neema yake.
Japo ni ndoto ila nawaambieni Mungu wa Tanganyika ni Mungu Mkuu, Mkubwa sana na amechukizwa sana na anaenda kufanya uwamuzi wa kihistoria juu ya Taifa na watu wake.
Amina Amina Amina ikawe baraka na haki juu ya Taifa na watu wake.
Kwa hayo machache ambayo nimeoteshwa Toka mwezi February 2025 niwatakia maisha mema na umri mrefu kushuhudia mipango ya Mungu wetu.