Brain Kingdom
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 7,002
- 14,570
Zingatia ndoto Amini nakwambia divide and rule hasa ubaguzi wa maslahi na riziki za kimaisha na uonevu ni nguzo kuu ya ndoto yangu kwenye nguzo kuu, Mungu wangu ana nguvu kubwa sana, mwaka huu ni mwaka wa maajabu na rebirth ya Taifa katika siasa na administrative reshuffle, plus institutional powers and structures, there shall be a political death and total demise. Ndoto hio haikuwa ya uongo Mungu ni Mkuu katika yote, Amina sana π π πMi sidhani kama kutakua na lolote la tofauti. Bodaboda kooote nchini ndio watahamasisha watu kupiga kula.
Mungu hafanyi jambo kama watu hawachukui hatua. Mkitulia na Mungu anatulia kimyaaaaaa.Zingatia ndoto Amini nakwambia divide and rule hasa ubaguzi wa maslahi na riziki za kimaisha na uonevu ni nguzo kuu ya ndoto yangu kwenye nguzo kuu, Mungu wangu ana nguvu kubwa sana, mwaka huu ni mwaka wa maajabu na rebirth ya Taifa katika siasa na administrative reshuffle, plus institutional powers and structures, there shall be a political death and total demise. Ndoto hio haikuwa ya uongo Mungu ni Mkuu katika yote, Amina sana π π π
My friend Mungu ni Mkuu amini Mungu anaongea kupitia watu na anatenda kweli na 2025 anaenda kutenda, nguzo kuu imevurugika yote ambayo ndio tunu ya Mungu na shina lake kuuMungu hafanyi jambo kama watu hawachukui hatua. Mkitulia na Mungu anatulia kimyaaaaaa.
Hata kama anaona mnateseka, lazima mchukue hatua ya kukubali kutandikwa ma yeye ndio anaingilia kati.
Labda Mungu aingilie kati huku kwenye Keyboard
Hamna vibe kabisa kwanza mm jamaa zangu woteninaofahamiana nao hamna aliyejiandikishaKatika historia ya Tanzania huu mwaka ni wa kipekee sana kwangu, tangu niote Tanzania itavurugika mwezi wa 2 yaani February 2025, nafsi yangu ilishafuta na kupotezea kuhusu uchaguzi wa 2025.
Nimebaki kama mchina kichwa wazi nachojua ni kwamba Mungu ashaimuru nguzo kuu ya Taifa kufanya ipasavyo juu yake na kwa neema yake.
Japo ni ndoto ila nawaambieni Mungu wa Tanganyika ni Mungu Mkuu, Mkubwa sana na amechukizwa sana na anaenda kufanya uwamuzi wa kihistoria juu ya Taifa na watu wake.
Amina Amina Amina ikawe baraka na haki juu ya Taifa na watu wake.
Kwa hayo machache ambayo nimeoteshwa Toka mwezi February 2025 niwatakia maisha mema na umri mrefu kushuhudia mipango ya Mungu wetu.
Kwa hakika tusubirie mipango ya Mungu, maisha yanaendeleaHamna vibe kabisa kwanza mm jamaa zangu woteninaofahamiana nao hamna aliyejiandikisha
Nakuhakikishia, hakuna Mungu anaedeal na taifa la watu wajinga na wasiojitambua..maana amewapa akili mzitumie kutatua changamoto za kimazingira! Mbaya zaidi kawapa viongozi wenye uchungu na rasilimali za nchi na wanaounizwa na hali ya umaskini ktk taifa watu wakapita nao, kinacholikuba taifa Kwa sasa ni adhabu na pigo la Mungu mwenyewe Kwa nchi! Hakika tutaishi maisha ya kitumwa mpk tuimbe haleluya! Kuhusu kampeni binafsi sijui zimefikia wapi na zinaishia lini? sielewi hata ni sera zipi zinanadiwa huko ziliko!Katika historia ya Tanzania huu mwaka ni wa kipekee sana kwangu, tangu niote Tanzania itavurugika mwezi wa 2 yaani February 2025, nafsi yangu ilishafuta na kupotezea kuhusu uchaguzi wa 2025.
Nimebaki kama mchina kichwa wazi nachojua ni kwamba Mungu ashaimuru nguzo kuu ya Taifa kufanya ipasavyo juu yake na kwa neema yake.
Japo ni ndoto ila nawaambieni Mungu wa Tanganyika ni Mungu Mkuu, Mkubwa sana na amechukizwa sana na anaenda kufanya uwamuzi wa kihistoria juu ya Taifa na watu wake.
Amina Amina Amina ikawe baraka na haki juu ya Taifa na watu wake.
Kwa hayo machache ambayo nimeoteshwa Toka mwezi February 2025 niwatakia maisha mema na umri mrefu kushuhudia mipango ya Mungu wetu.
Katika historia ya Tanzania huu mwaka ni wa kipekee sana kwangu, tangu niote Tanzania itavurugika mwezi wa 2 yaani February 2025, nafsi yangu ilishafuta na kupotezea kuhusu uchaguzi wa 2025.
Nimebaki kama mchina kichwa wazi nachojua ni kwamba Mungu ashaimuru nguzo kuu ya Taifa kufanya ipasavyo juu yake na kwa neema yake.
Japo ni ndoto ila nawaambieni Mungu wa Tanganyika ni Mungu Mkuu, Mkubwa sana na amechukizwa sana na anaenda kufanya uwamuzi wa kihistoria juu ya Taifa na watu wake.
Amina Amina Amina ikawe baraka na haki juu ya Taifa na watu wake.
Kwa hayo machache ambayo nimeoteshwa Toka mwezi February 2025 niwatakia maisha mema na umri mrefu kushuhudia mipango ya Mungu wetu.
Huku tulipo hali ipo hiviKatika historia ya Tanzania huu mwaka ni wa kipekee sana kwangu, tangu niote Tanzania itavurugika mwezi wa 2 yaani February 2025, nafsi yangu ilishafuta na kupotezea kuhusu uchaguzi wa 2025.