Aisee leo ni siku ya 41 tangu tufanye Interview pale NHIF katika ukumbi wa Baraza la Maaskofu!!
Mtu yeyote mwenye jipya au tetesi zozote maana zile nafasi zimetangazwa kuwa ni TEMPORARY EMPLOYMENT!!
Sasa kwa hali hii ikiwa Permanent Employment itakuwaje??