Wadau vipi nhif mbona kimya?

Wadau vipi nhif mbona kimya?

Naitwa Nani

Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
29
Reaction score
2
Aisee leo ni siku ya 41 tangu tufanye Interview pale NHIF katika ukumbi wa Baraza la Maaskofu!!
Mtu yeyote mwenye jipya au tetesi zozote maana zile nafasi zimetangazwa kuwa ni TEMPORARY EMPLOYMENT!!
Sasa kwa hali hii ikiwa Permanent Employment itakuwaje??
 
we bado unaziwaza hizo nafasi? Toka siku ile nilijua ni usanii, na niliachana nao pale pale.
 
Back
Top Bottom