Wadau wa Arusha Eva Anaendeleaje? Tujuzeni Please

Bobby

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2008
Posts
2,182
Reaction score
1,896
Takribani wiki mbili zilizopita kulikuwepo na habari hapa jeief kwamba moja ya nyumba ndogo za mgombea mmoja wa urahisi ilikuwa hoi bin taabani kitandani kwa maradhi. Ukitilia maanani kwamba uchaguzi unatugharimu mabilioni ya pesa hivyo tusingependa tuurudie uchaguzi huo na kutugharimu walipa kodi.

Ni ukweli usiopingika kwamba afya ya dada yetu Eva ni muhimu kwetu katika kufanya maamuzi ya busara mbele ya sanduku la kura 31 October 2010 kwani inaakisi afya ya mgombea huyo. Je ndugu zetu wa Arusha dada yetu anaendeleaje?

Na je mwenzi wake huyo alifanikiwa japo kwenda kumjulia hali wiki iliyopita alipokuwa huko kwa kampeni?
 
Tuambie ni nyumba ndogo ya nani ili tuweze kufanya huo uamuzi wa busara ifikapo Oct 31.
 
Haya sasa mambo ndio hayo ,mlijitia wajanja kutumia proxy kumchafua Slaa sasa mambo yanawageukia kwa kupitia kwa huyo EVA wa Arusha anaesemekana yuko mahututi kitandani!! Mlimwaga mboga na sasa wenzenu wanamwaga ugali!!
 
Takribani wiki mbili zilizopita kulikuwepo na habari hapa jeief kwamba moja ya nyumba ndogo za mgombea mmoja wa urahisi ilikuwa hoi bin taabani kitandani kwa maradhi. Ukitilia maanani kwamba uchaguzi unatugharimu mabilioni ya pesa hivyo tusingependa tuurudie uchaguzi huo na kutugharimu walipa kodi.

Ni ukweli usiopingika kwamba afya ya dada yetu Eva ni muhimu kwetu katika kufanya maamuzi ya busara mbele ya sanduku la kura 31 October 2010 kwani inaakisi afya ya mgombea huyo. Je ndugu zetu wa Arusha dada yetu anaendeleaje?

Na je mwenzi wake huyo alifanikiwa japo kwenda kumjulia hali wiki iliyopita alipokuwa huko kwa kampeni?

Ooooh...Goshhh!
Sasa hv kinachoangaliwa ni kwenda ikulu tu, hafikiriwi mgonjwa wala shemejie!
 
Back
Top Bottom