Wadau wa arusha mpooo!! Jiwe ndani ya arusha

mkuu sijawa mwenyei kihivyo bado sijajua saloon nzuri ya kunyoa nimekaa huku mpaka afroo imeota.
ila mkuu usinipeleke zile saloon za mitego kama dar

mhhhhhh!mwambie akulete kwangu!
nitajifunza kunyoa ndevu kwa ajili yako mgeni!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…