Asante kwa ukaribisho, nimekaribia
ha ha haa unapenda chakula gani?
kunjua jamvi basi hilo wageni wapate kukaa kitako...
hapa nakaa na mume wangu tu, wewe tafta kigogo ukalie
astaghafilullah...binti wanambia nkalie nini? Hebu sahihisha kauli hiyo kabla sijaulamba huo mkonowe, niukung'ute hivyo vipunje vya pilau halafu niusugue chini mavumbini...
lol! Bathi kalia kistuli!
kwani jamvi limeliwa na mchwa au mbuzi jamani?
hili jamvi lina wenyewe! Mbna umeling'ang'ania!!? We kalia tu kistuli