Wadau wa Chit-Chat mambo ya futari haya karibuni mjengoni

Asante sana Ritz;
Naamini tunakwenda vizuri hasa katika kipindi hiki cha MFUNGO.
 
Last edited by a moderator:
Sheikh wangu Ritz nashukuru kwa mkaribisho wako.. Ila hujasema wapi hapo tukaribie.. Halafu ninarusiwa kuja na shemeji yako Paloma..?
 
Last edited by a moderator:
Maalim Ritz asantr kwa mwaliko ntakuja pasi na shaka yakhe
 
Last edited by a moderator:
Hak'ya mbongo binti nani sijui... akalie nini!? iingili sikubhaghiile ughwe...! seee..!!

^^
Baba V
Naona unapiga chenga ya akili,,shughulikia file hilo unipe mtoto huyo,,kubali tu ushemeji..Ha ha ha Tukuyu.one
^^
 
Last edited by a moderator:
Hii sredi ya Ritz ukifungua una njaa imekula kwako aisee
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
,,,,,,,,,na vibibi, samaki wa kupaka,,,,,,,,,,,,,,,,,,,eish uji sasa wenye viungo na tui la nazi- unanukiaaaaa!

Hapo unashushia na uji wa shurba, hatari...
 
Sheikh wangu Ritz nashukuru kwa mkaribisho wako.. Ila hujasema wapi hapo tukaribie.. Halafu ninarusiwa kuja na shemeji yako Paloma..?

Wala usihofu karibuni sana na take away mtapata.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…