Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,366
mkuu wala usihofu..nikakuwepo baada ya sala adhuhuriMagimbi yapo tena ya Nazi, karibu sana.
lol...uji wa pili pili manga unahusika,,,,,,,,,na vibibi, samaki wa kupaka,,,,,,,,,,,,,,,,,,,eish uji sasa wenye viungo na tui la nazi- unanukiaaaaa!
hahahahahahaha....hapa kama nazamia sehemu si nishashikwa..?..iwe siri yako mkuuHa ha haa baada ya swalat magharib ndiyo tunafuturu.