Wadau wa Chuo cha Kodi (ITA)

rasha

Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
75
Reaction score
8
Vipi wana Jf kuhusu hichi chuo, elimu itolewayo na mazingira ya chuo kwa mjumla? Kwa anaefahamu tafadhali tujuzane.
 
Kipo poa! Mazingira ni mazuri ya kusomea. Kakomae tu juhudi zako ndio zinazotakiwa.
 
Chuo kizuri sana,wahadhiri nao wanajitahidi kufundisha.Kasoro ipo kwenye mazingira,chuo kinapakana na kiwanda cha nondo.Kwa wanaoishi hapo hapo maradhi kama kifua yamekuwa ni sehemu ya maisha yao,ukifika asubuhi ni kawaida kukuta masizi meusi kutoka katika kiwanda hicho cha nondo yametapakaa eneo la chuo.Ila kitaaluma wako vizuri sana!


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

Kwahiyo ni bora kuishi eneo la nje kumbe!
 
hostel hupati lakn zipo kwa ajili ya maofisa wa tra tuuu nfo kilichonifanya nifanye transfr
 
samahanini wanajf. Mim ntaka kuaply ni chuo gan kwa mda huu bdo knarushu maombi? Na kama hamna je kwa january hadi march pia hakuna? Samahanin naombeni minijuze. Pia waweza kuni2mia mesej kuptia 0714419691
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…