Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi wana Jf kuhusu hichi chuo, elimu itolewayo na mazingira ya chuo kwa mjumla? Kwa anaefahamu tafadhali tujuzane.
Chuo kizuri sana,wahadhiri nao wanajitahidi kufundisha.Kasoro ipo kwenye mazingira,chuo kinapakana na kiwanda cha nondo.Kwa wanaoishi hapo hapo maradhi kama kifua yamekuwa ni sehemu ya maisha yao,ukifika asubuhi ni kawaida kukuta masizi meusi kutoka katika kiwanda hicho cha nondo yametapakaa eneo la chuo.Ila kitaaluma wako vizuri sana!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums