ktk uchaguzi wa course vyuoni ungeomba ushauri uelimishwe juu ya kile utakacho kusoma kipo vip na impact zake asa hiz habar za kusema inalipa au majanga ni tatizo kama hauko na wito wale mental retarded utawatreat vip
Haufi njaa kama anavysema huyo kabwela.kama hauna wat wakukpga kifua kwny kufind job hyo ni kaz nzur sana kuepuka kukaa sana kitani kama wal wenzngu wa walchokua kuz fulnflan chuoni.
Brada unazingua maana TCU karibia wanatoa selection na siiazani kama kwenye system unaweza ku -edit tena......sasa hata tukikushauri itasaidia nini...?