Mtoto wa Nyerere
Senior Member
- May 21, 2021
- 129
- 689
Tunaenda kujadili elimu na mfumo wa kujiajiri
Wadau wa elimu wahusika ambao ni Sector binafsi hawapo
Wamejazana wafanyakazi wa serikali walio chini ya waziri ndalichako.
Huu ni utoto tulitakiwa kuwaita watu ambao wapo tayari nje ya box kama Mafundi wa magari, vinyozi, Mafundi simu, Wanaofanya kilimo cha mazao, Matunda na mboga mboga
Mafundi wa kabati, vitanda na sofa.
Tunaenda kuita waajiriwa wa serikali eti ndio wadau wa elimu kumbe hata tatizo hatulijui?
Wote mliopo hapo hakuna mnachokifanya na hamwezi kuleta syllabus inayotakiwa.