Wadau wa FOREX,mnamulikwa soon na serikali

Wadau wa FOREX,mnamulikwa soon na serikali

Ngozi nyeusi bado sana,wachawi ni wengi.
MTU mweusi anaamini hili upate pesa ni lazima uvuje jasho, uumie,unyeshewe na mvua na baada ya hapo ukalale hoi.

Na ndio maana hawa forex critics wa humu ukiakiangalia comments zao wanakwambia nendeni mkalime!

Watu bado wapo kwenye zama za mawe za kale kifikra na ndio maana umaskini umetamaraki.
 
Huna lolote wewe una tamani iwe hivyo kwamba serikali iweke pingamizi dhidi ya forex na sio kitu kingine

Hili kuthibitisha hili umekurupuka kuleta thread bila hata kuelewa kilichoandikwa na kumaanishwa kwenye hiyo link, umekimbilia kuleta hisia na matamanio yako.

Kilichomo kwenye hiyo link na kichwa chako cha hii habari ni vitu viwili visivyo landana, eti "wadau wa forex mtamulikwa soon" umeona kwanza waliomulikwa huko KENYA ni akina nani?

Kama umeshindwa kuelewa forex participants waliomulikwa huko kenya hizi kama sio hisia ni nini?
Iweke pingamizi ili ninufaike na nini? Na nimeshasema lengo la hii thread halikua copying and pasting hiyo link hapa kama ilivyo,nilichofanya mimi niko drawing possible inference(s) from that article.
 
Anayelipa kodi ni broker au institutes sio trader wa kawaida!! Wakitaka kodi wakawabane brokers huko nje kama wana uwezo..
Sasa Kenya imeweka utaratibu kua local brokers,wapewe kipaumbele,kuna mchangiaji kasema tz hakuna brokers,hauoni hii inaweza sababisha uanzaji wa brokers wa ndani?
 
Hujajibu swali nililouliza!

Forex ifundishwa hadi vyuo vikuu, je deci ilikua inafundishwa vyuo vikuu?
Nakumbuka mwalimu wetu wa monetary Economics alitufundisha arbitrage,naona inashabihiana sana na hii forex.
 
Ngozi nyeusi bado sana,wachawi ni wengi.
Wewe unaita uchawi ila wataalam wanaita informed inferences/observation about possibility of future events which can influence a certain issue.
 
MTU mweusi anaamini hili upate pesa ni lazima uvuje jasho, uumie,unyeshewe na mvua na baada ya hapo ukalale hoi.

Na ndio maana hawa forex critics wa humu ukiakiangalia comments zao wanakwambia nendeni mkalime!

Watu bado wapo kwenye zama za mawe za kale kifikra na ndio maana umaskini umetamaraki.
Wako wapi hao critics wa forex humu?
 
Bongo hamna broker mkuu. Kodi wataipata nikienda kuchukua changu benki.
a409c9bd81ca5a9dc44e793d1a3a72d9.jpg
Mkuu, unamtumia broker yupi? nipe mwanga hata PM
 
Back
Top Bottom