Wadau wa FOREX,mnamulikwa soon na serikali

Ngozi nyeusi bado sana,wachawi ni wengi.
MTU mweusi anaamini hili upate pesa ni lazima uvuje jasho, uumie,unyeshewe na mvua na baada ya hapo ukalale hoi.

Na ndio maana hawa forex critics wa humu ukiakiangalia comments zao wanakwambia nendeni mkalime!

Watu bado wapo kwenye zama za mawe za kale kifikra na ndio maana umaskini umetamaraki.
 
Na kama hawapati faida mtawa refund pesa zao walizowekeza?

Na hiyo kodi unataka wailipeje?

Watu wote wanaolipa kodi wamewekeza sio wao tu. Wanapata faida ndio maana wananenepa na wanatoa elfu 70 haha
 
Iweke pingamizi ili ninufaike na nini? Na nimeshasema lengo la hii thread halikua copying and pasting hiyo link hapa kama ilivyo,nilichofanya mimi niko drawing possible inference(s) from that article.
 
Anayelipa kodi ni broker au institutes sio trader wa kawaida!! Wakitaka kodi wakawabane brokers huko nje kama wana uwezo..
Sasa Kenya imeweka utaratibu kua local brokers,wapewe kipaumbele,kuna mchangiaji kasema tz hakuna brokers,hauoni hii inaweza sababisha uanzaji wa brokers wa ndani?
 
Hujajibu swali nililouliza!

Forex ifundishwa hadi vyuo vikuu, je deci ilikua inafundishwa vyuo vikuu?
Nakumbuka mwalimu wetu wa monetary Economics alitufundisha arbitrage,naona inashabihiana sana na hii forex.
 
Ngozi nyeusi bado sana,wachawi ni wengi.
Wewe unaita uchawi ila wataalam wanaita informed inferences/observation about possibility of future events which can influence a certain issue.
 
Wako wapi hao critics wa forex humu?
 
Utakatwa tuu kodi kazi itaendelea muache woga basi duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…