Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Godi hivi hiyo avatar yako unaiona lakini?nikerebishe mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Godi hivi hiyo avatar yako unaiona lakini?nikerebishe mkuu
naiona mkuuGodi hivi hiyo avatar yako unaiona lakini?
Mkuu forex ni kitu kingine kabisa unatumia knowledge ya bureau de change kwenye forex huku wahuni wanachezesha soko kwa kanuni zao faida na hasara wanawatengenezea wao.
lot inaanzia 0.01 hadi 4,000,000,000,000trillion $.huko nimekadiria tu coz ndo mzunguko wa siku wa soko uo kwa siku sasa we na kamtaji ka 10$ mwisho lot yako ni 0.09 tu kadri mtaji unavopanda nawe unaongezewa kiwango cha lot