Wadau wa forex trading nisaidieni hapa

Umeunguza akaunti mkuu, hii inatokana na kutokuzingatia Risk management, kama vile kutokuweka stop loss, kuweka lotsize kubwa , kufungua positions nyingi
 
Hizi promo za kishamba sana,

Waacheni watu watafiti wapate broker wao wenyewe,

Achaneni na comission,

Trader gani wewe badala ya kutrade kila siku unatangaza broker?
Boss huyu broker amekukosea nini? Seems km unakinyongo naye sana ,
Hafu boss kama unabroker wako mzur mzur unamtumia tuletee humu na sisi tumfahamu na utakuwa umetusaidia kufanya utafiti boss! Huyo beginner unayemwambia akafanye utafit atafanya wapi? Kama sio jamii forums na kwa matraders wengine , au hujui maana ya utafiti boss,, humu ndan brokers wanaozungumziwa sana ni tickmill na Templer , mm mwenyewe nimefika kumfahamu Templer humu humu jamiiforums kupitia hiz hiz promo , so usizuie promo kwa sababu zinawasaidia wengi sana sema ww mkuu much know sana ...
Narudia tena km unabroker wako mzur mzur mlete humu tumjue boss acha umuch know
 
Mkuu EURUSD napiga vita kabisa promo za vitu hivi kwa sababu kama wewe ni beginner lazima utafiti kuhusu broke

Kuna-review kibao mtandaoni ukienda myfxbook utakuta brokers kibao na review zao

Sasa hii habari ya promo za commison ndo yatatokea yale yale ya JPM markets

Watu wanashauriwa halafu baadae wanaanza kulia lia hovyo
 
Hii forex huwa naisikia tu....hivi inahusika na nini hasa ni aina fulani ya gambling au?
 
umeunguza mkuu kwanz leo spread zilkuw kubwa san since jana ijumaa kwaiyo pole
 
Mmetaja forex nikamkumbuka ontario..yuko wapi jamaa
 
Ulifungua position ngapi?
Kwa capital kiasi gani?
 
Utakuwa umechoma account, ongea na brocker wako akupe fafanuzi.
 
23 positions zote hizo??

Umesha choma account mzee baba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila huwezi jua alikuwa na balance kiasi gani,usikute alikuwa na pesa ya kutosja
 

Upo mkoa gani natafuta mtu wa kunifundisha hii kitu ana kwa ana.
Me Niko mtwara au kama unamjua mtaalamu wa hii kitu anayeishi huku niunganishe nae
 
Upo mkoa gani natafuta mtu wa kunifundisha hii kitu ana kwa ana.
Me Niko mtwara au kama unamjua mtaalamu wa hii kitu anayeishi huku niunganishe nae
Soma hivi vitabu astroforex price action na naked forex halafu ingia YouTube tafuta videos za urbanforex zipo Zaidi ya 20 kila moja ikiwa na lisaa limoja halafu practice sana sidhani kama kuna haja ya mentor au kununua indicator
 
Soma hivi vitabu astroforex price action na naked forex halafu ingia YouTube tafuta videos za urbanforex zipo Zaidi ya 20 kila moja ikiwa na lisaa limoja halafu practice sana sidhani kama kuna haja ya mentor au kununua indicator


Shukrani.., nitafanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…