MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Pia mwambie bwana yule wa magogoni apunguze kuvaa mi suti mikubwa mikubwa over size [emoji1] [emoji1]Leo niliamua kufanya utafiti hapa mtaani kwangu kwa mtindo wa kipima joto kuhusu mtangazaji nguli wa habari kutoka ITV.
Wadau wa habari nchini wamekuwa na maoni tofauti kuhusu swali la kipima joto lililouliza "tabia ya Sam Mahela kupenda kuvaa suti za kung'aa,je kunaharibu habari?"
Turudi studio kwa matokeo rasmi
Ndiyo:89%
Hapana:0%
Sijui:11%
Maoni
Mahela unajua kusoma habari vizuri ila tatizo unatuumiza macho watazamaji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yale makoti yatakuwa size ya wa hasiraPia mwambie bwana yule wa magogoni apunguze kuvaa mi suti mikubwa mikubwa over size [emoji1] [emoji1]
Mm ananikera nywele cjui anapaka pikooooo....jaman piko aachie watt was form one b..yy ashakua MTU mzimaLeo niliamua kufanya utafiti hapa mtaani kwangu kwa mtindo wa kipima joto kuhusu mtangazaji nguli wa habari kutoka ITV.
Wadau wa habari nchini wamekuwa na maoni tofauti kuhusu swali la kipima joto lililouliza "tabia ya Sam Mahela kupenda kuvaa suti za kung'aa,je kunaharibu habari?"
Turudi studio kwa matokeo rasmi
Ndiyo:89%
Hapana:0%
Sijui:11%
Maoni
Mahela unajua kusoma habari vizuri ila tatizo unatuumiza macho watazamaji
Anapaka ZazuuMm ananikera nywele cjui anapaka pikooooo....jaman piko aachie watt was form one b..yy ashakua MTU mzima
Khaaa bas akipaka io midude yake kichwan....na zile sut...AF ukakuta yupo kwenye dk 45 nazima TV naenda kulalaAnapaka Zazuu