MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Leo niliamua kufanya utafiti hapa mtaani kwangu kwa mtindo wa kipima joto kuhusu mtangazaji nguli wa habari kutoka ITV.
Wadau wa habari nchini wamekuwa na maoni tofauti kuhusu swali la kipima joto lililouliza "tabia ya Sam Mahela kupenda kuvaa suti za kung'aa,je kunaharibu habari?"
Turudi studio kwa matokeo rasmi
Ndiyo:89%
Hapana:0%
Sijui:11%
Maoni
Mahela unajua kusoma habari vizuri ila tatizo unatuumiza macho watazamaji