Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,426
Sakayo ndio yupi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sakayo ndio yupi
Hiv shemeji unafikri mimi sina wivu eeh![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Shemeji kwanini lkn unapenda kumchokoza mume wangu?
Mdada fulani mwenye upendo wa agapeSakayo ndio yupi
Kwani kuna kitu unanidai shemeji?Hiv shemeji unafikri mimi sina wivu eeh!
Watu wazima unataka tuzungushane kama form two kweli. Haya tu wewe
Hii ndiyo gia yako ya kutokea eehKwani kuna kitu unanidai shemeji?
Hahahaaaaa!! Kutokea kwenye nini?Hii ndiyo gia yako ya kutokea eeh
Pole kwa majukumu aseeBusy mama
Tayari umejivuruga hapa. Kwa sisi tunao fahamu rangi za maandishi na miandiko........
Tayari tumeunganisha dots...
unaitwa GENTAMYCINE au unajiita GENTAMYCINE???Hivi Wewe huwezi kuwa ndiyo yule Mzee wa Mkoani Kigoma aliyemwambia Mkuu wa Wilaya kuwa hatoacha kulima na kuvuta Bange / Bangi kwani ameanza kulima na kuitumia tokea mwaka 1973? Halafu rekebisha hapo katika ID yangu naitwa GENTAMYCINE na siyo hivyo ulivyoandika Wewe.
unaitwa GENTAMYCINE au unajiita GENTAMYCINE???
teh teh tehhhahahahahahahahahahahahahaha, uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ruksaateh teh teh
akishindwa kutabiri mimi nitatabiri aseeee.
Ukiniruhusu lakini