wadau wa jukwaa la elimu jamiiforums mko wapi?

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,367
Reaction score
1,293
kuna mdau mmoja hapa jf aliwahi kusema "matokeo ya form 6 yakitoka watu hawataonekana tena jf'',ni kweli kabisa,baada ya matokeo ya form 6,matokeo ya tcu ,watu hawapo kabisa,yaani target yao ilikuwa kujiunga kwa ajili ya kuleta polojo na maneno mengi yasiyo ya msingi,sahizi wamekimbia.humu ni sehemu pekee tunapoweza kukutana na kuongea mambo yanayohusu elimu yetu,BADALA YA KUKESHA FACEBOOK,PIA NOTE,KUKESHA SANA MTANDAONI KUNAWEZA ATHIRI MASOMO,KWAHIYO MDA WA KULALA AU UKIWA FREE NDO TUKUTANE HAPA:yield:
 
aha we form six wa mwez 2 tena umechaguliwa teku
 

tumeanza masomo! Example: mimi wa ardhi university tutakuwa tunaonana weekend tuu, overrr!!! haters welcome
 
Last edited by a moderator:
ila tutaheshmiana 2 kwenye ku2mia pesa za kodi za taifa
 
aSanteeeh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…