AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
kuna mdau mmoja hapa jf aliwahi kusema "matokeo ya form 6 yakitoka watu hawataonekana tena jf'',ni kweli kabisa,baada ya matokeo ya form 6,matokeo ya tcu ,watu hawapo kabisa,yaani target yao ilikuwa kujiunga kwa ajili ya kuleta polojo na maneno mengi yasiyo ya msingi,sahizi wamekimbia.humu ni sehemu pekee tunapoweza kukutana na kuongea mambo yanayohusu elimu yetu,BADALA YA KUKESHA FACEBOOK,PIA NOTE,KUKESHA SANA MTANDAONI KUNAWEZA ATHIRI MASOMO,KWAHIYO MDA WA KULALA AU UKIWA FREE NDO TUKUTANE HAPA:yield: