Wadau wa Magari, vipi gari aina ya Mitsubish Outlander

Mi ninayo tangu Jan 2019, now ni karibia miaka 3 na ushee. Sasa hebu kuwa specific unataka kujua kuhusu nini kwenye hii Mitsubishi Outlander.
1. Nahitaji kujua ulaji wake wa mafuta ukoje sababu wewe unaexperience nayo ya miaka zaidi ya mitatu?

2. pia ina matatizo gani mfano ya engine na mengineyo?

3.Nahitaji kujua kwa service inakugharimu shingapi?

4.Mwisho nahitaji kujua upatikanaji wake wa spare parts, huwa unapata wapi na gharama zake zikoje?

Natanguliza shukrani zangu kwako
 
Wenye uzoefu na hii chuma... MITSUBISHI OUTLANDER, mwageni data hapa.

-Kaveli-
 
Ulaji wake wa mafuta ni average 7.1km/l hadi 9km/l inategemea na uendeshaji wako wa mafuta tank la mafuta ni 60litre hizi ni data za mitandaoni

Mkuu Lyamber , umemiliki hii chuma? Tupe experience yako.

-Kaveli-
 
Ahsante kwa ufafanuzi Jana hapa Dodoma nimemuona kuna MTU amepaki hiyo Mahakama kuu namba D ,ngoja nipambane niagize chuma

Ulifanikiwa kuimiliki hii ndinga? If yes, share your experience.

-Kaveli-
 
1. Nahitaji kujua ulaji wake wa mafuta ukoje sababu wewe unaexperience nayo ya miaka zaidi ya mitatu?

2. pia ina matatizo gani mfano ya engine na mengineyo?

3.Nahitaji kujua kwa service inakugharimu shingapi?

4.Mwisho nahitaji kujua upatikanaji wake wa spare parts, huwa unapata wapi na gharama zake zikoje?

Natanguliza shukrani zangu kwako
1. Chief fuel consumption ni variable ya vitu vingi ukiweka pamoja. Sasa iko hivi kama kila kitu kipo sawa kwa maana air filter, spark plugs na vitu vingine vinavyoweza kuathiri ulaji wa mafuta kwa yangu ambayo ni 2009 model CVT transmission napata around 8.5km/l kwa trip za mjini na around 12-13km/l nikisafiri mkoa. Ila pia zingatia aina ya uendeshaji inahusika sana kupata good fuel milleage.
2. Kwenye engine sijawahi kupata tatizo lolote na nimesafiri nayo sana. Nilinunua ilikua na mileage 100k sasahv ni around 190k. Nimewahi kupata changamoto ya stepper motor kufail kwenye CVT transmission nikabadili valve chest complete ilinicost around laki 3. Otherwise ni replacements za kawaida za shocks, abs sensor na oxygen sensor ambazo hizo ni common tu hata kwenye gari zingine.
3. Service ya kawaida around 150. Hapo mana ni engine oil, oil filter, air filter, ac filter etc and no major parts replacement.
4. Parts huwa napata Kinondoni, Kkoo na Ilala inategemea na kitu chenyewe cha kubadilisha. Gharama pia inavary ingawa nikiri mwanzoni parts zilikua bei kidogo na hazipatikani kwa urahisi ila sasahv zipo na bei reasonable.
Mwisho kwa mtazamo wangu mm ni reliable car especially kwenye safari ndefu, ila zingatia timely maintenance na hakikisha unatumia genuine mitsubishi cvt transmission fluid kama utapata yenye CVT transmision. Ukiweka lubex au any universal fluid utaua transmission fasta.

Hope nimesaidia kiasi flani.
 
Imesaidia sio kidogo sana chief, kupitia bandiko lako nimepata ufahamu wa namna ya kuendesha hii ndinga maana na mimi ninayo na sijutii kua nayo nimepata madini. Hongera na asante mkuu.
 
Hadi kuipata ilikugharimu bei gani mkuu kama hautojali
 
Hadi naitia mkononi ni around 21M, ukiwa fresh agizia kupitia Autocom Japan jamaa wana bei nzuri ukienda Befoward inaweza fika hadi 23 au 25 kabisa, Befoward wana bei zao za kulipuka sana. Pia unaweza cheki na SBI Motors hawa nao wana gari nzuri na bei yao reasonable
 
1. Chief fuel consumption ni variable ya vitu vingi ukiweka pamoja. Sasa iko hivi kama kila kitu kipo sawa kwa maana air filter, spark plugs na vitu vingine vinavyoweza kuathiri ulaji wa mafuta kwa yangu ambayo ni 2009 model CVT transmission napata around 8.5km/l kwa trip za mjini na around 12-13km/l nikisafiri mkoa. Ila pia zingatia aina ya uendeshaji inahusika sana kupata good fuel milleage.
2. Kwenye engine sijawahi kupata tatizo lolote na nimesafiri nayo sana. Nilinunua ilikua na mileage 100k sasahv ni around 190k. Nimewahi kupata changamoto ya stepper motor kufail kwenye CVT transmission nikabadili valve chest complete ilinicost around laki 3. Otherwise ni replacements za kawaida za shocks, abs sensor na oxygen sensor ambazo hizo ni common tu hata kwenye gari zingine.
3. Service ya kawaida around 150. Hapo mana ni engine oil, oil filter, air filter, ac filter etc and no major parts replacement.
4. Parts huwa napata Kinondoni, Kkoo na Ilala inategemea na kitu chenyewe cha kubadilisha. Gharama pia inavary ingawa nikiri mwanzoni parts zilikua bei kidogo na hazipatikani kwa urahisi ila sasahv zipo na bei reasonable.
Mwisho kwa mtazamo wangu mm ni reliable car especially kwenye safari ndefu, ila zingatia timely maintenance na hakikisha unatumia genuine mitsubishi cvt transmission fluid kama utapata yenye CVT transmision. Ukiweka lubex au any universal fluid utaua transmission fasta.

Hope nimesaidia kiasi flani.
Shukrani sana brother umesaidia pakubwa 🙏
 
Genuine CVT transmission ya Mitsubishi inakua imeandikwa jina au inafanana na zile za Nissan Dualis na Subaru?
Kama hutojali ni maduka gani unapata spea za Outlander Kwa Dar? Na je ni spear za used au mpya?
 
Transmission Fluid ya Mitsubishi inaitwa DIAQUEEN CVT FLUID J1
IMG-20221130-WA0010.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kawaida nikishatoa gari bandari, service gan za muhimu kuzifanya kwa M outlander?
 
Badilisha Engine oil, then nenda garage wakague. Japo mara nyingi gari inakuwa kwenye hali nzuri
 
Back
Top Bottom