Wadau wa Mazda tukutane hapa

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Karibuni wamiliki wenzangu wa Mazda, tupeane changamoto za magari yetu. Mimi namiliki premacy.

 
Karibuni wamiliki wenzangu wa Mazda, tupeane changamoto za magari yetu. Mimi namiliki premacy....
Loh, shida tupu spare, ni ghali usiombe. Mfano clutch plate nilinunua shilingi 250,000. Ila ni magari imara sana.
 
Mazda za zamani wakati kampuni inamilikiwa na ford mpaka mwaka 2012 zilikua ni balaa sana.Toka walipojitoa kule na kuanza kujitegemea kwa 100% wanatoa gari kali mno kwa sasa.

Mazda CX 7 imeshinda compact SUV of the year 2018,pia general car of the year 2018 hapa South Africa. CX 7 ni class moja na rav4 ,Nissan murano na Honda crv lakini imewafunika wote.
 
Tribute to my mazda rx-8.

Nilikua na mazda rx-8 nikaipimp ikawa ya "kitozi"hatariiiii, balaa lake inakula engine oil si mchezo.

Ni cc 1300 tu lkn horsepower inatoa zaidi ya 200, nilikua nikitembea road hakuna cha tezza sijui nini labda subaru baadhi ndo zilikua zinanisumbua tena mostly STI WRX.

Barabarani ina balance balaa ni 50% kwa 50%(wenye uelewa wa magari wataelewa hii).

Consumption yake ni lita 1 kwa km 6 mpk 7 wkt ni cc 1300 tu hahah.

Ikifika km 100,000 engine overhauling lazima ihusike,niliiuza ikiwa na km 75,000 kwa mhindi.

Next challenge nataka 1997 Manual mazda enfine rx-7(Najua matatizo ya hio gari lkn ndo hivyo tena naitaka hivyo hivyo)

Oooooh i'll miss u my mazda rx-8.
 
Nimeiona CX 7 mkuu, daah pale parefu sana kwa kweli ngoja nijikongoje na premacy kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina Mazda Premacy ya 2001 gari ni imara sana hizi km unaifanyia service vizuri. Ninayo toka 2010 haijawahi nisumbua zaidi ya shock up tu ambazo bado sijapata wapi wanauza new ones
Mimi yangu ni ya 2006 mkuu, kinachonitatiza saivi ni breakpad nataka nibadilishe halafu na cross joint

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kibongobongo bei ya spea zake ni hatari tupu..ila DRC ndio nasikia ndio kipenzi chao huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…