donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Karibuni wamiliki wenzangu wa Mazda, tupeane changamoto za magari yetu. Mimi namiliki premacy.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Loh, shida tupu spare, ni ghali usiombe. Mfano clutch plate nilinunua shilingi 250,000. Ila ni magari imara sana.Karibuni wamiliki wenzangu wa Mazda, tupeane changamoto za magari yetu. Mimi namiliki premacy....
Aisee kweli mkuu, mi daily nalia na spare kwa kweli daah.Loh, shida tupu spare, ni ghali usiombe. Mfano clutch plate nilinunua shilingi 250,000. Ila ni magari imara sana.
Nimeiona CX 7 mkuu, daah pale parefu sana kwa kweli ngoja nijikongoje na premacy kwanzaMazda za zamani wakati kampuni inamilikiwa na ford mpaka mwaka 2012 zilikua ni balaa sana.Toka walipojitoa kule na kuanza kujitegemea kwa 100% wanatoa gari kali mno kwa sasa.Mazda CX 7 imeshinda compact SUV of the year 2018,pia general car of the year 2018 hapa South Africa. CX 7 ni class moja na rav4 ,Nissan murano na Honda crv lakini imewafunika wote.
Mimi yangu ni ya 2006 mkuu, kinachonitatiza saivi ni breakpad nataka nibadilishe halafu na cross jointMimi nina Mazda Premacy ya 2001 gari ni imara sana hizi km unaifanyia service vizuri. Ninayo toka 2010 haijawahi nisumbua zaidi ya shock up tu ambazo bado sijapata wapi wanauza new ones
Hujapata spare mkuuNina Mazda MPV ni mwake wa 4 iko juu ya mawe imekufa gearbox.
balaa lile sitaki kulisikia zile rotary engines ndio zimeiharibu ile gariTribute to my mazda rx-8.
Nilikua na mazda rx-8 nikaipimp ikawa ya "kitozi"hatariiiii, balaa lake inakula engine oil si mchezo...