Wadau wa Mazda tukutane hapa

Mimi gari yangu ni Honda CR-V,napata taabu sana kupata vipuri.Unaweza kunisaidia machimbo ya vipuri vya hii gari mkuu?
Nina Honda CR-V (DR 1) Mwaka wa 12 huu sitaki hata kuuza, vipuri kibao. We unaishi wapi? Kuna maduka matatu pale Machinga Complex vipuri kibao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…