Ntopo Kilebente
Senior Member
- Apr 3, 2021
- 191
- 248
sikujua kama mazda ina gari yenye cabin
leo nimekutana nayo ni nzuri sana kwa muonekano kama ford flan hivi
Tupia kapicha sasa bana weweee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sikujua kama mazda ina gari yenye cabin
leo nimekutana nayo ni nzuri sana kwa muonekano kama ford flan hivi
Mazda bt-50 hiyo first generation zilikua zinakuja na engine za ford ranger, second generation kuanzia 2021 zinakuja na engine za Isuzu D-Max.
nimeipendaMazda bt-50 hiyo first generation zilikua zinakuja na engine za ford ranger, second generation kuanzia 2021 zinakuja na engine za Isuzu D-Max.
Gari kali sananimeipenda
Hata kama una hela bado utavipata kwa taabu!
Agizia EBay, South africaMimi gari yangu ni Honda CR-V,napata taabu sana kupata vipuri.Unaweza kunisaidia machimbo ya vipuri vya hii gari mkuu?
Wanaona sifa kuteseka hawa jamaa 🤓🤓🤓 hamnaga tuzo ya kuteseka duniani!Wazee wa kupata taabu na vipuri!
Nina Honda CR-V (DR 1) Mwaka wa 12 huu sitaki hata kuuza, vipuri kibao. We unaishi wapi? Kuna maduka matatu pale Machinga Complex vipuri kibao.Mimi gari yangu ni Honda CR-V,napata taabu sana kupata vipuri.Unaweza kunisaidia machimbo ya vipuri vya hii gari mkuu?
Mimi niliuliza pia sijajibiwa, naipenda SANA hii gari.Mwenye uzoefu wa Mazda Verisa ya mwaka 2007 wakuu
Gharama za vipuri vyake zikoje mkuu?Nina Honda CR-V (DR 1) Mwaka wa 12 huu sitaki hata kuuza, vipuri kibao. We unaishi wapi? Kuna maduka matatu pale Machinga Complex vipuri kibao.
Sio bei kubwa mkuu, Ni affordable sana tu. Unapata mpya pia used.Gharama za vipuri vyake zikoje mkuu?
Mkuu kwa mfano shock up ya RAV4 ni TZS 80,000/=,shock up ya hiyo honda inaweza kuwa ni sh ngapi mkuu?Sio bei kubwa mkuu, Ni affordable sana tu. Unapata mpya pia used.
60,000-80,000Mkuu kwa mfano shock up ya RAV4 ni TZS 80,000/=,shock up ya hiyo honda inaweza kuwa ni sh ngapi mkuu?
Shockup inauzwa 80k?Mkuu kwa mfano shock up ya RAV4 ni TZS 80,000/=,shock up ya hiyo honda inaweza kuwa ni sh ngapi mkuu?
CC:Bavaria😉60,000-80,000