Wadau wa Mazda tukutane hapa

Wadau wa Mazda tukutane hapa

Tribute to my mazda rx-8.

Nilikua na mazda rx-8 nikaipimp ikawa ya "kitozi"hatariiiii, balaa lake inakula engine oil si mchezo.

Ni cc 1300 tu lkn horsepower inatoa zaidi ya 200, nilikua nikitembea road hakuna cha tezza sijui nini labda subaru baadhi ndo zilikua zinanisumbua tena mostly STI WRX.

Barabarani ina balance balaa ni 50% kwa 50%(wenye uelewa wa magari wataelewa hii).

Consumption yake ni lita 1 kwa km 6 mpk 7 wkt ni cc 1300 tu hahah.

Ikifika km 100,000 engine overhauling lazima ihusike,niliiuza ikiwa na km 75,000 kwa mhindi.

Next challenge nataka 1997 Manual mazda enfine rx-7(Najua matatizo ya hio gari lkn ndo hivyo tena naitaka hivyo hivyo)

Oooooh i'll miss u my mazda rx-8.
Ah mzee mimi mwenyewe nakubali gari kadhaa mojawapo ikiwepo hio rx7 kuna hilo na gtr 32,33 au 34 na toyota supra

Lakini hizi gari tatizo ni bei yake kwa sasa be forward sijaona rx7 ila nissan hzo na supra hzo bei ni za ajabu mno

Sijui ndugu kama umepata chimbo zuri za kuzipata kwa bei chee??
Ila hio rx7 ni ngumu kuimaintain asee
 
CX 5 ya 2016
IMG_5404.jpg
 
Back
Top Bottom