Kwa mabingwa wa draft na stori za kwenye draft ni kwamba tanzania kuna mabingwa 12 tuSafi Mkuu, ingekuwa inafanyika Kitaifa ingekuwa poa sana mabingwa wa Mkoa wanakusanyika Mkoa fulani wanapiga gemu za kutosha theni tunapata bingwa wa Taifa
Kivip Mkuu manake tunamikoa ya kutosha iweje 12 tuKwa mabingwa wa draft na stori za kwenye draft ni kwamba tanzania kuna mabingwa 12 tu
Ronaldo, Noeli ,Nduli , Issa Mamba, Simba wa dodoma, Rama wa arusha, Mstaafu mangwezi,, dogo sisto, dogo janja, kwata mwivi , gaidi, na specialist wa vipande Godzilla...Kivip Mkuu manake tunamikoa ya kutosha iweje 12 tu
Mkuu kama hutojali hebu tupe story ya mangweleleHua najiulizaga hivi hawa walio master draft wanacheza draft hili hili lenye jumla ya vyumba 64 au lao linakua lina vyumba 6?
Haya madude ndio maana yalitaka kumuua mangwelele
Game ya leo ndio itatoa majibu nani mkaliUpdate No 1. Ronaldo anaongoza goli 1 katika michezo 7 waliokwisha icheza.
Hahahaha ilikuwajeNatamani ningekuwepo
Hawa woote wakae upande mmoja wachangie mawazo hafu tuwe kwenye time limit ya 30s
Huu mchezo ulishafanywa nikanyang'anywa pasopoti yangu namibia. Sito sahau
Miko mingine haina mabingwa...Kivip Mkuu manake tunamikoa ya kutosha iweje 12 tu
Kuna mzee mmoja wa makamo ni mchungaji hua anapenda sana draf kuji-organize na vijanaMi napende bwebwe na maneno unaweza shangaa umefugwa kwa maneno tu Kuna mzee mmoja nilimkuta kavaa shati na kizibao kwa nje ati ananambia kijana usinione hivi hapa nimevaa mashati mawili hili la nje limeisha mikono kwa sababu ya kusukuma kete tu Sasa Mimi ntampatia wapi
Aliumwa kichwa akalazwa kwasababu ya draftMkuu kama hutojali hebu tupe story ya mangwelele
Kwenye michezo kinachoangaliwa ni ubingwa mambo ya hela hayapewi kipaumbele kivile.Daa anyway nimeona hapo mtu katoka Dar kuja kucheza michezo 24 kwa 200,000 hatupo sierous kwa kweli vipi hakuna baraza la draft au taasisi inayosimamia hayo mchezo huo
Kwa Africa hayo mambo yapo ila mabara mengine money ndio factor kubwa kwaoKwenye michezo kinachoangaliwa ni ubingwa mambo ya hela hayapewi kipaumbele kivile.
We hujiulizi timu zinasajili kwa mabilioni afu kombe ni milioni 80
Naamini na sie tunaelekea huko.Kwa Africa hayo mambo yapo ila mabara mengine money ndio factor kubwa kwao
ulikua unaanga;ia sehemu gan mkuu?Hizo ndo sheria za kimataifa za mchezo wa drft na nimewahi kushudia mpambano uliozihusisha nchi za Africa kuna watu kwenye huu mchezo wanacheza sijawahi ona.
baba babaah Hugo Godzilla ni nyoko. Jamaal and mkono mmoja mlemavu, na anaongea kithembe.Ronaldo, Noeli ,Nduli , Issa Mamba, Simba wa dodoma, Rama wa arusha, Mstaafu mangwezi,, dogo sisto, dogo janja, kwata mwivi , gaidi, na specialist wa vipande Godzilla...
Ni baadhi tu ya mafundi wa sasa kwa draft,, ukikutana nao wakataka kitu kitu waogope sana hao watu ....
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Muwe mna project kwa ukuta na projectorKwa bahati mbaya sipo eneo la tukio lakini mtanage wote utarekodiwa na Kama sijakosea huenda vedio hizo zikapakiwa Hadi U tube.Lakini nikiwahi nitatupia updates za kutosha.