Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Wanawekewa stop watch mdau kasema hapo juuSaa nzima mchezo mmoja? Ah wanazinguwa waweke time limit yaani hata dk 20 naziona nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawekewa stop watch mdau kasema hapo juuSaa nzima mchezo mmoja? Ah wanazinguwa waweke time limit yaani hata dk 20 naziona nyingi
wameweka nyingi sana kawaida ni 30sHapo fresh
At least dalmax ya playstoredah nmemiss sana draft aisee halafu nilipo sasa hamna mafundi dah, hivi kuna app yeyote ya pc ambayo ni ngumu kweli maana app zote nazopataga naona km ni kwa wale wasiojiweza tu
Aah aisee 30s hapo si wanakomoana sasawameweka nyingi sana kawaida ni 30s
Hizo ndo sheria za kimataifa za mchezo wa drft na nimewahi kushudia mpambano uliozihusisha nchi za Africa kuna watu kwenye huu mchezo wanacheza sijawahi ona.Aah aisee 30s hapo si wanakomoana sasa
Mkuu...Hawa jamaa wana spirit moja hivi ambayo karibia kila bingwa anayo.
Yani mchezo aliofungwa hua hawasahau, yani akitoka hapo anaenda nyumbani anakupangia kete zote namna jinsi bao lilivyokua.
Halafu anaanza kuifikiria kila kete kwa kila angle ajue wapi alikosea. Akijua basi hapo hapo anaweza akarudi kwa yule aliyemfunga na kumuambia tucheze tena. Hata kama ilikua ni kama jamaa yuko radhi aweke bondi hata simu
Inawezekana kabisa huyu ronaldo ule mchezo aliofungwa na noel kule kitunda ameufanyia majaribio kila siku na kujiridhisha kua hawezi kufungwa tena au ameuboresha zaidi kiasi cha yeye kupata ushindi
Wote wababe, na kila mmoja anjoona mwalimu wa mwingine...[emoji23][emoji23]Tatizo Hawa jamaa hawapendi Sana kucheza friend matches,wao NI mwendo wa kitukitu tu.
Mkuu ivi hakuna wadhamini tuweze kucheki kwenye luninga. Sijui kuucheza ila naupenda huu mchezo hasa ukiwakuta mafundi na maneno yao ya shombo na pia hesabu zao kali sana ukisukuma kete moja tu tayari anakumbia limeishaTatizo Hawa jamaa hawapendi Sana kucheza friend matches,wao NI mwendo wa kitukitu tu.
Hakuna wadhamini mkuu.Mkuu ivi hakuna wadhamini tuweze kucheki kwenye luninga. Sijui kuucheza ila naupenda huu mchezo hasa ukiwakuta mafundi na maneno yao ya shombo na pia hesabu zao kali sana ukisukuma kete moja tu tayari anakumbia limeisha
Daa anyway nimeona hapo mtu katoka Dar kuja kucheza michezo 24 kwa 200,000 hatupo sierous kwa kweli vipi hakuna baraza la draft au taasisi inayosimamia hayo mchezo huoHakuna wadhamini mkuu.
Naufahamu kwa kiasi chake sijafikia ile level ya kumuambia mpinzani "umefungwa" baada ya mpinzani kusukuma kete mbili za mwanzoMkuu...
Kwa comment hii, naomba nikiri kwamba unaufahamu mchezo wa draft..[emoji1666]
Umenikumbusha Mwaka flani hivi nakumbika kuna mtu aliweka uzi humu heading ilisomeka hiviDaa anyway nimeona hapo mtu katoka Dar kuja kucheza michezo 24 kwa 200,000 hatupo sierous kwa kweli vipi hakuna baraza la draft au taasisi inayosimamia hayo mchezo huo
Miaka fulani hivi nadhani ziliwahi kuwepo hizi tetesi likiwemo na bao sasa mambo ya vijana yalipoingilia utu uzima basi ndio hivo tenaDaa anyway nimeona hapo mtu katoka Dar kuja kucheza michezo 24 kwa 200,000 hatupo sierous kwa kweli vipi hakuna baraza la draft au taasisi inayosimamia hayo mchezo huo
Hua najiulizaga hivi hawa walio master draft wanacheza draft hili hili lenye jumla ya vyumba 64 au lao linakua lina vyumba 6?Hizo ndo sheria za kimataifa za mchezo wa drft na nimewahi kushudia mpambano uliozihusisha nchi za Africa kuna watu kwenye huu mchezo wanacheza sijawahi ona.
Kwa kweli tupo wadau wengi tu ila hakuna platform nzuri ya huu mchezo sijui tufanyajeUmenikumbusha Mwaka flani hivi nakumbika kuna mtu aliweka uzi humu heading ilisomeka hivi
"Draft mchezo unaodharaulika na jamii"
Mi hata nikifika ugenini labda mkoani hua natafuta kijiwe cha draft maana wale wadau wa draft karibia wote tuna falsafa moja.Kwa kweli tupo wadau wengi tu ila hakuna platform nzuri ya huu mchezo sijui tufanyaje
Mkuu acha tu zaizi tumebase kwenye michezo inayohamasisha ngono.Miaka fulani hivi nadhani ziliwahi kuwepo hizi tetesi likiwemo na bao sasa mambo ya vijana yalipoingilia utu uzima basi ndio hivo tena
Kwani michezo kama
Bao
Draft
Karata
Nsimbi
N.k
Unaiona siku hizi?
Safi Mkuu, ingekuwa inafanyika Kitaifa ingekuwa poa sana mabingwa wa Mkoa wanakusanyika Mkoa fulani wanapiga gemu za kutosha theni tunapata bingwa wa TaifaMi hata nikifika ugenini labda mkoani hua natafuta kijiwe cha draft maana wale wadau wa draft karibia wote tuna falsafa moja.
Binafsi sijawahi sikia uwepo was Baraza la draft huenda ukawa umeunganishwa kwenye michezo ya asili Kama bao vileDaa anyway nimeona hapo mtu katoka Dar kuja kucheza michezo 24 kwa 200,000 hatupo sierous kwa kweli vipi hakuna baraza la draft au taasisi inayosimamia hayo mchezo huo