Gluk
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 1,859
- 3,008
Hii ilikuwa 2018 ndani ya PTAulikua unaanga;ia sehemu gan mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ilikuwa 2018 ndani ya PTAulikua unaanga;ia sehemu gan mkuu?
Kabisa mkuu kuna kete ukikosea tu kwa mafundi wanakwambia limeisha,maana huwa hakuna namna hata ubadilikaje.Mkuu ivi hakuna wadhamini tuweze kucheki kwenye luninga. Sijui kuucheza ila naupenda huu mchezo hasa ukiwakuta mafundi na maneno yao ya shombo na pia hesabu zao kali sana ukisukuma kete moja tu tayari anakumbia limeisha
Ilikuwaje mkuu huyu mangwelele.Hua najiulizaga hivi hawa walio master draft wanacheza draft hili hili lenye jumla ya vyumba 64 au lao linakua lina vyumba 6?
Haya madude ndio maana yalitaka kumuua mangwelele
Kashinda RONALDOVipi Nani kashinda?
Hata hivyo si mbaya maana ni mtu tu katoa hela yake mfukoni na wao wakaridhia na Tena mareiebisho kidogo kumbe mshindi alikuwa alipata 150k na mwenzake akapata 50k.Mtu atoke Dar kwenda Njombe, then akishinda apewe laki 2.
Serious?
Elezea ushindi huo Mkuu.. mechi 24 zimeishaje.Kashinda RONALDO
Kashinda RONALDO
Mimi ningekuwa mdau wa mchezo huu ningegharamikia 200k nyingineHata hivyo si mbaya maana ni mtu tu katoa hela yake mfukoni na wao wakaridhia na Tena mareiebisho kidogo kumbe mshindi alikuwa alipata 150k na mwenzake akapata 50k.
Alishinda Ronaldo kwa 3-1Goli ngapi?
Walicheza jumla michezo mingapi?Alishinda Ronaldo kwa 2-1
Walicheza michezo 24 hapo utaona kuwa sare zilikuwa 21Walicheza jumla michezo mingapi?
Walitoa sare ngapi?
Noma sanaWalicheza michezo 24 hapo utaona kuwa sare zilikuwa 21
Hatari mzee baba, nikipata vedio clips kutoka kwa wadau nitaziweka hapa maana sikufanikiwa kuwahi nihudhurie kivumbi hicho.Noma sana
BritishHuwa Wanacheza French au British ..?