Wadau wa mchezo wa draft, Leo Kuna mpambano wa kukata na shoka Ronaldo vs Noel

Hata Hiyo frenchi utakufa tu, utachagua mwenyewe pakufia
Mkuu,

Nikitoa Historia Ya vipigo draft Nilivyotembeza Mkoa wa Pwani,Morogoro,Tanga,Iringa & Dom ,Tabora,Mwanza & Shinyanga nitakuwa Najishuhudia Mwenyewe,

Naushuhuda Wakujishuhudiaa Sio.

Sisi huku British(Mbele Kete) Tunaliita Draft la Wazembe/Wachovu..

Mpaka vijiweni Watoto huku Wanacheza French(Mbele na Nyuma kete),Hapa kufungwa supa ni dakika Sifuri tu.

British Tunacheza Kama kufanya Mazoezi yakurejesha/Kukumbushia Mbinu zake tu..!

Mfano:Kuna kipindi nilikuwa Morogoro,Jamaa Yangu akanipeleka Kwa Vijiwe vya Draft, Kuuliza Kama kuna Mcheza French naimbiwa hakuna.

Ikabidi nirejeshe Kumbukumbu za British,ndiposa nikacheza nao.

Maanake French Ikishakukolea Utaweka Mitego Ya Mpinzani wako ale na Nyuma Lahula unakuja kushituka upo unacheza mbele tu British.

Kiufupi huku Maeneo Yetu British inaboa.

Kama Waanza kujifunza ndio tunaweza anza KuKufundisha British Kisha unaingia hatua ya juu yenye kushughulisha Ubongo sawa-sawa, French.
 
Nilikutana na jamaa tukiwa tunacheza akasema namfunga kwakua anacjua french, nikamuambia wewe cheza french mimi nitacheza kawaida.

Na akapasuka kama kawaida.

NB. British ilivyo hata baada ya kuingia kingi hiyo kingi inakua kama kete zingine isipokua inaweza move pande zote, lakini haina uwezo wa kuruka vyumba au kete iwe vyumba vya mbele iweze kula.

Mimi ndiyo british nnayoijua. Naona hapa mnarefer british hili drafti lisiloruhusu kula mbele na nyuma.
 
Mkuu,,

Naomba unifafanulie hapo bwana huyo alivyocheza French,Wewe Ukacheza kawaida ndani ya Mchezo Mmoja.
Nilikutana na jamaa tukiwa tunacheza akasema namfunga kwakua anacjua french, nikamuambia wewe cheza french mimi nitacheza kawaida.

Na akapasuka kama kawaida.

NB. British ilivyo hata baada ya kuingia kingi hiyo kingi inakua kama kete zingine isipokua inaweza move pande zote, lakini haina uwezo wa kuruka vyumba au kete iwe vyumba vya mbele iweze kula.

Mimi ndiyo british nnayoijua. Naona hapa mnarefer british hili drafti lisiloruhusu kula mbele na nyuma.

Huku maeneo Ya Kwetu/Jamii yetu tuliyolelewa na kukuta draft linachezwa,

Wasifu Mmoja Wapo Mkubwa wa Kuitwa Biritsh Ni Kete Kutoweza Kula Kwa kurudi nyuma,

Manaake Kete inakula Kwa kusonga mbele daima.

Zipo na nyingine Sifa za British.

Na huko Nilikopita tulie
Iewana kuhusu British & French na tukacheza Pamoja.

Labda Wazee Wetu/Jamii(Maeneo Yetu) Tuliowakuta Kwa Mchezo huu na kupachika Majina haya French na British na Sisi Tumeyabeba bila yakuyafanyia Utafiti wa kina inaweza kuwa changamoto Pia..!

Lakini lengo ni mchezo draft Wa kula:-

a)Mbele na nyuma,

b)Mbele Tu
 
Mkuu,

Nikitoa Historia Ya vipigo draft Nilivyotembeza Mkoa wa Pwani,Morogoro,Tanga,Iringa & Dom ,Tabora,Mwanza & Shinyanga nitakuwa Najishuhudia Mwenyewe,

Naushuhuda Wakujishuhudiaa Sio.

Sisi huku British(Mbele Kete) Tunaliita Draft la Wazembe/Wachovu..

Mpaka vijiweni Watoto huku Wanacheza French(Mbele na Nyuma kete),Hapa kufungwa supa ni dakika Sifuri tu.

British Tunacheza Kama kufanya Mazoezi yakurejesha/Kukumbushia Mbinu zake tu..!

Mfano:Kuna kipindi nilikuwa Morogoro,Jamaa Yangu akanipeleka Kwa Vijiwe vya Draft, Kuuliza Kama kuna Mcheza French naimbiwa hakuna.

Ikabidi nirejeshe Kumbukumbu za British,ndiposa nikacheza nao.

Maanake French Ikishakukolea Utaweka Mitego Ya Mpinzani wako ale na Nyuma Lahula unakuja kushituka upo unacheza mbele tu British.

Kiufupi huku Maeneo Yetu British inaboa.

Kama Waanza kujifunza ndio tunaweza anza KuKufundisha British Kisha unaingia hatua ya juu yenye kushughulisha Ubongo sawa-sawa, French.
We sema unakuja lini Dar. Tukutafutie mafundi wa Frenchi au British, upige nao.
Mzigo mzigo.
Nakuhakikishia utapigwa zote, yaani French na British.
Kama unabisha njoo Dar
 
Dar Mwakani Mkuu.
We sema unakuja lini Dar. Tukutafutie mafundi wa Frenchi au British, upige nao.
Mzigo mzigo.
Nakuhakikishia utapigwa zote, yaani French na British.
Kama unabisha njoo Dar
Nasubiri Upepo Wa Uchaguzii Upite.

Nitajitahidi Niwashangaze Wenyeji kwa kiwango ambacho hakijawahi shuhudiwa....Asilan
 
Mkuu,

Nikitoa Historia Ya vipigo draft Nilivyotembeza Mkoa wa Pwani,Morogoro,Tanga,Iringa & Dom ,Tabora,Mwanza & Shinyanga nitakuwa Najishuhudia Mwenyewe,

Naushuhuda Wakujishuhudiaa Sio.

Sisi huku British(Mbele Kete) Tunaliita Draft la Wazembe/Wachovu..

Mpaka vijiweni Watoto huku Wanacheza French(Mbele na Nyuma kete),Hapa kufungwa supa ni dakika Sifuri tu.

British Tunacheza Kama kufanya Mazoezi yakurejesha/Kukumbushia Mbinu zake tu..!

Mfano:Kuna kipindi nilikuwa Morogoro,Jamaa Yangu akanipeleka Kwa Vijiwe vya Draft, Kuuliza Kama kuna Mcheza French naimbiwa hakuna.

Ikabidi nirejeshe Kumbukumbu za British,ndiposa nikacheza nao.

Maanake French Ikishakukolea Utaweka Mitego Ya Mpinzani wako ale na Nyuma Lahula unakuja kushituka upo unacheza mbele tu British.

Kiufupi huku Maeneo Yetu British inaboa.

Kama Waanza kujifunza ndio tunaweza anza KuKufundisha British Kisha unaingia hatua ya juu yenye kushughulisha Ubongo sawa-sawa, French.
Morogoro ulicheza sehemu gani? Ungeenda pale juwata ungeyaoga na kukimbia kabisa
 
[SUP]Wakuu,habari ndiyo hiyo,Leo Kuna mpambano wa kukata na shoka Kati ya RONALDO kutoka DAR dhidi ya NOEL kutoka NJOMBE.[/SUP]

[SUP]Mtanange huu utakuwa wa mechi 24 ambazo zitapigwa ndani ya ukumbi wa michezo wa SANSIRO uliopo Mjini MAKAMBAKO ambapo mashabiki watajipatia fursa ya kushuhudia mtanange huo kwa kiingilio Cha Tsh. 2000/= tu na mshindi wa mtanange huo atajinyakulia kitita Cha Tsh. 200,000/=.[/SUP]

[SUP]Mtanange huo unatarajiwa kuanza mnamo saa 10 jioni.[/SUP]

[SUP]Nipo mbali na eneo la tukio lakini nikiwahi kurudi nitawapa updates lakini nikishindwa updates basi nitawapa matokeo ya mwisho.[/SUP]

[SUP]UPDATE: FT: Ronaldo 3-1 Noel[/SUP]

[SUP]MAREKEBISHO YA ZAWADI. Kumbe mshindi alichukua Tsh.150,000/= na mpinzani wake Tsh. 50,000/=[/SUP]
Kuna jamaa anaitwa KANAVARO huku kwetu anatisha balaa mwenyewe anadai hao akina RONALDO,MAMGWERERE ye anacheza nao na wanafungana tu yaan ktk top5 ya taifa naye yupo na kwavile sijawahi muona akifungwa Mimi naamini Sasa nyie munaowajua Mafundi wa MCHEZO huu je huyu jamaa munamjua?
 
Ndo kwa Mara ya kwanza nalisikia mkuu,sijawahi kusikia Hilo jinahata kwenye top 12 ambayo Mara nyingi huwa tunaiisikiasikia,labda anaongea hivyo Kama maneno tu ya kwenye draft,yupo wapi aweke mzigo apewe kipute?
 
dah nmemiss sana draft aisee halafu nilipo sasa hamna mafundi dah, hivi kuna app yeyote ya pc ambayo ni ngumu kweli maana app zote nazopataga naona km ni kwa wale wasiojiweza tu
Kuna app ya online draft ....ni nzur yani unacheza na mwenzako wa mbali
 
Natamani ningekuwepo

Hawa woote wakae upande mmoja wachangie mawazo hafu tuwe kwenye time limit ya 30s

Huu mchezo ulishafanywa nikanyang'anywa pasopoti yangu namibia. Sito sahau
Mkuu pasopoti ni mdudu gani?
 
Morogoro ulicheza sehemu gani? Ungeenda pale juwata ungeyaoga na kukimbia kabisa
hata akifunga wote juwata bado mpk amalizane na yule bingwa wa chamwino mwenye mguu mbovu
 
Nilishawahi ingia kichwa kichwa kijiwe flani hivi niwape challenge, eeeeh! nilicheza na mwana mmoja alikuwa mtabe mixer maneno ya kwenye draft..

Ilibidi nisepe tu...
 
Back
Top Bottom