Mkawo
Member
- May 26, 2012
- 61
- 60
Huu mchezo n miongon mwa michezo mingi ninayoifurahia, napenda kwenda kuucheza ama kuutizama hasa nyakat za jion, mahali tunakupokutana hasa ni kijiwen na wadau wake wengi ni wa juu kiumri kwangu, nafurahishwa sana na maneno ya kejeri hasa wakutanapo manguli wa mchezo huu.
Rai yangu kwenu nahitaji tips ama technique za kuujua mchezo huu maana kila nikienda naishia kufungwa na maneno ya dhihaka na kejeli ndan ake. karibun!
Rai yangu kwenu nahitaji tips ama technique za kuujua mchezo huu maana kila nikienda naishia kufungwa na maneno ya dhihaka na kejeli ndan ake. karibun!