Wadau wa mchezo wa drafti tukutane hapa!

Mkawo

Member
Joined
May 26, 2012
Posts
61
Reaction score
60
Huu mchezo n miongon mwa michezo mingi ninayoifurahia, napenda kwenda kuucheza ama kuutizama hasa nyakat za jion, mahali tunakupokutana hasa ni kijiwen na wadau wake wengi ni wa juu kiumri kwangu, nafurahishwa sana na maneno ya kejeri hasa wakutanapo manguli wa mchezo huu.
Rai yangu kwenu nahitaji tips ama technique za kuujua mchezo huu maana kila nikienda naishia kufungwa na maneno ya dhihaka na kejeli ndan ake. karibun!
 
Ili uujue lazima ujifunze kwa vitendo patterns na ujiongeze kwenye finishing draft ni hesabu unatakiwa ucheze upande wako lakini pia ucheze na la adui
 
Huu mchezo n miongon mwa michezo mingi ninayoifurahia, napenda kwenda kuucheza ama kuutizama hasa nyakat za jion, mahali tunakupokutana hasa ni kijiwen na wadau wake wengi ni wa juu kiumri kwangu, nafurahishwa sana na maneno ya kejeri hasa wakutanapo manguli wa mchezo huu.
Rai yangu kwenu nahitaji tips ama technique za kuujua mchezo huu maana kila nikienda naishia kufungwa na maneno ya dhihaka na kejeli ndan ake. karibun!
mimi nitakuelekeza jinsi ya kutumia kete tatu ili umfunge mpinzani wako.
 
Nimeshindwa kucheza draft kwa uelewa kila nikicheza nafungwa sijui kanuni gani hutumika utasikia manguli wa draft wakisema mchezo huu ni hesabu siyo kweli Mimi ni nguri wa mahesabu
 
Unakosea sehemu moja unacheza upande wako tu draft ili ushinde lazima ujue mpinzani wako atacheza kete zipi
Nimeshindwa kucheza draft kwa uelewa kila nikicheza nafungwa sijui kanuni gani hutumika utasikia manguli wa draft wakisema mchezo huu ni hesabu siyo kweli Mimi ni nguri wa mahesabu
 
Jifunze Kubakisha kete za mwisho zicheze where necessary, kuepuka kupigwa kuanzia kete 3 na adui yako
 
Huu mchezo n miongon mwa michezo mingi ninayoifurahia, napenda kwenda kuucheza ama kuutizama hasa nyakat za jion, mahali tunakupokutana hasa ni kijiwen na wadau wake wengi ni wa juu kiumri kwangu, nafurahishwa sana na maneno ya kejeri hasa wakutanapo manguli wa mchezo huu.
Rai yangu kwenu nahitaji tips ama technique za kuujua mchezo huu maana kila nikienda naishia kufungwa na maneno ya dhihaka na kejeli ndan ake. karibun!
Tutaftane tufundshan nko arusha
 
Back
Top Bottom