mimi nitakuelekeza jinsi ya kutumia kete tatu ili umfunge mpinzani wako.Huu mchezo n miongon mwa michezo mingi ninayoifurahia, napenda kwenda kuucheza ama kuutizama hasa nyakat za jion, mahali tunakupokutana hasa ni kijiwen na wadau wake wengi ni wa juu kiumri kwangu, nafurahishwa sana na maneno ya kejeri hasa wakutanapo manguli wa mchezo huu.
Rai yangu kwenu nahitaji tips ama technique za kuujua mchezo huu maana kila nikienda naishia kufungwa na maneno ya dhihaka na kejeli ndan ake. karibun!
Nimeshindwa kucheza draft kwa uelewa kila nikicheza nafungwa sijui kanuni gani hutumika utasikia manguli wa draft wakisema mchezo huu ni hesabu siyo kweli Mimi ni nguri wa mahesabumimi nitakuelekeza jinsi ya kutumia kete tatu ili umfunge mpinzani wako.
Nimeshindwa kucheza draft kwa uelewa kila nikicheza nafungwa sijui kanuni gani hutumika utasikia manguli wa draft wakisema mchezo huu ni hesabu siyo kweli Mimi ni nguri wa mahesabu
Hapo inahitaji kupata maelekezo ya kinaUnakosea sehemu moja unacheza upande wako tu draft ili ushinde lazima ujue mpinzani wako atacheza kete zipi
Tutaftane tufundshan nko arushaHuu mchezo n miongon mwa michezo mingi ninayoifurahia, napenda kwenda kuucheza ama kuutizama hasa nyakat za jion, mahali tunakupokutana hasa ni kijiwen na wadau wake wengi ni wa juu kiumri kwangu, nafurahishwa sana na maneno ya kejeri hasa wakutanapo manguli wa mchezo huu.
Rai yangu kwenu nahitaji tips ama technique za kuujua mchezo huu maana kila nikienda naishia kufungwa na maneno ya dhihaka na kejeli ndan ake. karibun!