Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Extreme rules ipi mkuu maana baada ya Alexa ku cash hawajawah kupigana na Nia.Nia jax walirudiana na alexa kwenye xtream rule akashindwa ni rematch ipi tena anataka?
Aj styles kapigwa na Joe sema refa hakuona. Aj alipata shida kama yote.Wajuzi wa mambo mtujuze, Je AJ styles kapewa ushindi wa bure , au Samoa Joe kajichanganyaaaa
Samoa Joe kajichanganya, maana kwa position AJ alikuwa juu ya samoe Joe na ilionekana kama aj ndo amefanya cover.Wajuzi wa mambo mtujuze, Je AJ styles kapewa ushindi wa bure , au Samoa Joe kajichanganyaaaa
Umesahau tu, baada ya summer slam ilifuata extreme rule,Extreme rules ipi mkuu maana baada ya Alexa ku cash hawajawah kupigana na Nia.
Maana ali cash in kwenye MITB, then ikaja Summer slam ambapo Alexa alipoteza kwa Ronda, then hii Hell in a cell
NAKUBALIANA NA WEWE 100000%
Mbona ratiba ya hii siijui vizuri,kumbe Mimi huwa naangalia marudio kila siku? Hebu nipeni ratiba kamili sasa ya liveUko vzrr!!
Ratiba ya live ikoje? Mimi huwa naangalia marudio tu bila kujua kuna mechi za live huwa znaonyeshwaLadies and gentlemen Show imeanza rasmi!-Supersport 8
Matukio makubwa kama vile Summerslam,Hell in the cell,extreme rules e.t.c mechi huwa zinaanza live saa saba na nusu usiku hadi asubuhi ila Monday night raw na smackdown huwa zinaanza saa tisa ya usiku hadi asubuhi live supersport 8!Ratiba ya live ikoje? Mimi huwa naangalia marudio tu bila kujua kuna mechi za live huwa znaonyeshwa
Duh!...na wewe kumbe ni mpenzi wa hii kitu!!Baba Chura uwe unanishtua basi muda wa mieleka!!!
AJ styles Alipata taabu sana!Aj styles kapigwa na Joe sema refa hakuona. Aj alipata shida kama yote.
Simpendi hata kidogo yule chizi
Eti Storongoman [emoji23] [emoji23] [emoji23]Leo The shield walimsaidia Roman kumshinda Beri Cobin maana wakina Dogzigiler na Wapambe wake kina Storongoman walikuwa wameleta wesheri wakapewa saizi yao.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Eti Storongoman [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi TLC ni lini? nimemiss sana hii showMatukio makubwa kama vile Summerslam,Hell in the cell,extreme rules e.t.c mechi huwa zinaanza live saa saba na nusu usiku hadi asubuhi ila Monday night raw na smackdown huwa zinaanza saa tisa ya usiku hadi asubuhi live supersport 8!
Hivi TLC ni lini? nimemiss sana hii show
Hivi TLC ni lini? nimemiss sana hii show