Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Inamaana wameshajua mpaka mwezi wa 11 bado mkanda atakuwa nao Roman?
Jana cobin baada ya kutangaza hiyo game akamwambia roman kua anaeza asiwepo kwenye triple threat kama akipigwa jana, na cobin akajiweka mwenyewe kama challenger. Ila kwa kua roman katetea jana, inaonekana hatakua na game nyingine ya championship mpaka hiyo nov huko riyadh saudi arabia kwenye triple threat ya beast, monster among men na big dog mwenyewe
 
Na contract ya money in the bank ndio imeishafeli hivyo? Au kwa lugha nyingine strongoman ameshindwa ku cash in?
 
Mnooo!!sema Mimi sina supa sport naangalia kupitia MBC Action,MBC plus zile za waarabu
Rafiki supersport ni very cheap,kwa kifurushi cha tsh 19,000/= tu kwa mwezi unakuwa unapata matukio yote ya mieleka kama vile Monday night raw,smackdown,summerslam,TLC,extreme rules,hell in the cell e.t.c live na pia wanarudia kila mechi wiki nzima!.....Mimi nilikuwa nimefunga king'amuzi cha Azam tv ila sasa hivi nimefunga pia supersport kwa ajili ya kuangalia mieleka tu!
 
Matukio makubwa kama vile Summerslam,Hell in the cell,extreme rules e.t.c mechi huwa zinaanza live saa saba na nusu usiku hadi asubuhi ila Monday night raw na smackdown huwa zinaanza saa tisa ya usiku hadi asubuhi live supersport 8!
Ratiba ya Hayo matukio yote hufanyika siku ya jumatatu pekee!?
 
Rafiki supersport ni very cheap,kwa kifurushi cha tsh 19,000/= tu kwa mwezi unakuwa unapata matukio yote ya mieleka kama vile Monday night raw,smackdown,summerslam,TLC,extreme rules,hell in the cell e.t.c live na pia wanarudia kila mechi wiki nzima!.....Mimi nilikuwa nimefunga king'amuzi cha Azam tv ila sasa hivi nimefunga pia supersport kwa ajili ya kuangalia mieleka tu!
[emoji2] [emoji2] [emoji23] kaka sikuwezi aiseehh!!ngoja nikihama hapa uswazi ntannua supa sport yaani kwa sasa nikifunga dish mbili ntaibiwa maana nnavoibiwa hapa acha tu!

Leo mmeona after burn miz na truth sijui nani kashinda...nasubiri hell in a cell!!

Triple H na Undertaker the big match!!!!
 
Ubaya wa MBC action huwa wanaonyesha mechi baada ya wiki moja sijui mbili tokea mechi ichezwe kitu kama hicho!
 
Afu huyu acting manager cobin naona kama anawapendelea sana kina strowman, dew na ziggler. Anaonekana kabisa ana chuki ya wazi na the shield, na anatafuta kila njia mikanda yao ichukuliwe, sema jamaa wapambanaji
 
Anazingua sana huyu Corbin! Bora arudi tu yule Kurt Angle.
 
Rafiki supersport ni very cheap,kwa kifurushi cha tsh 19,000/= tu kwa mwezi unakuwa unapata matukio yote ya mieleka kama vile Monday night raw,smackdown,summerslam,TLC,extreme rules,hell in the cell e.t.c live na pia wanarudia kila mechi wiki nzima!.....Mimi nilikuwa nimefunga king'amuzi cha Azam tv ila sasa hivi nimefunga pia supersport kwa ajili ya kuangalia mieleka tu!
Yaani mm kila wiki Lazima niangalie mapambano ya hawa jamaa
 
Umesahau tu, baada ya summer slam ilifuata extreme rule,

Tukio lingine la extreme rule ni Jeffy hard pia alinyang'anywa mkanda na Nakamura siku hiyohiyo kama unakumbuka Nakamura alimpiga mapumbu mwanzo tu wa mchezo
Mkuu,

Baada ya money in the bank ilikuja ppv ipi?

Em taja ppv zote after MITB, alafu unitajie na kila ppv mkanda wa raw women championship ulipipambaniwa na kina nani
 
Back
Top Bottom